GE2025 Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi aongoza Kikao cha Sekretarieti ya maandalizi ya mchujo wa Wagombea

GE2025 Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi aongoza Kikao cha Sekretarieti ya maandalizi ya mchujo wa Wagombea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mkoani Dodoma.

1752496148939.png
Kikao hicho kinachotarajiwa kuendelea hadi Julai 16, kimeitishwa kufuatia kukamilika kwa zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania uteuzi wa nafasi za uwakilishi katika vyombo vya dola. Nafasi hizo zinahusisha ubunge wa majimbo, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi, pamoja na Udiwani wa Kata na Viti maalum.

1752496175747.png
 
Hawa jamaa hata wakikaa ni kama Baraza la mawaziri tu hawana maajabu yoyote, yaani mambo ya Msingi ambayo yanaweza kutoka hapo baada ya kikao ni hopeless kabisa.

INABIDI WARUDI KUWAANGALIA WANANCHI ZAIDI KULIKO MASLAHI YAO.
 
Hicho kikao kinabeba hatima ya nchi kwa miaka mingi mbele.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 , CCM Makao Makuu, Dodoma.

20250714_172542.jpg
20250714_172547.jpg
20250714_172555.jpg
 
Attachments

  • 20250714_172550.jpg
    20250714_172550.jpg
    124.8 KB · Views: 17
Hawa jamaa hata wakikaa ni kama Baraza la mawaziri tu hawana maajabu yoyote, yaani mambo ya Msingi ambayo yanaweza kutoka hapo baada ya kikao ni hopeless kabisa.

INABIDI WARUDI KUWAANGALIA WANANCHI ZAIDI KULIKO MASLAHI YAO.
ZOTE TAKATAKA
 
We mbwa hukaribii hadhi ya hao wenye nchi.
 
Hivi Laana ya ukoo wenu mmeshindwa kabisa kuimaliza ?
 
We mbwa hukaribii hadhi ya hao wenye nchi.
Sina haja ya kuwakaribia hao takataka wasio na maana yoyote hapa nchini isipokuwa wizi tu na ufisadi.

Ninyi ambao hamuendi chooni mpaka muwasifie hao wizi ndio mbwa wakubwa.

Kenge hao hawana tija yoyote Kwa Taifa hili.
 
Back
Top Bottom