Katibu Mkuu CCM, Abdurahman Kinana, kimya kimezidi

Okay, kama Kikwete alivokuwa na lile tatizo. It was public, tena mjomba Mkulu alimshaurigi aende kimya kimya akasema wananchi lazima wajue. Unadhani ya Kinana tutayajua.
 
Ukisikia kukurupuka ni hivi ufanyavyo.

WATANZANIA ewe MUUMBA hebu tupe busara ya kuweza kufikiria na kusema wenye, bila kuendeshwa kama gari la remote. tuepushe na ujinga huu wa kuendeshwa kwa remote control tena zilizo kwisha charge.

Pole sana ndugu yangu, wiki ya jana alikuwa pale Lumumba na aliwaambi watu hakwenda India wala Canada bali alikuwa uingereza .

Sasa kama huko totally mentali controlled basi utaamini la zivyo endelea kugonga miamba.
weeee!!!
ati alikuwa uingereza? unamaanisha mkuu wa nchi aliuongopea umma wa watanzania mchana kweupe?
mie simo!
 
hata bashite wakati ule alitumwa marekani kupiga selfie na kula bata kwa miezi miwili.
hiyo ndio raha ya ukubwa, unamtuma yeyote na popote unapotaka,ili mradi asipotee!
 
Unamzungumzia kinana aliyetumwa kwenda kwenye matibabu au yupi ? Kwani aliyetumwa hatujapewa mrejesho ilikuwa safari ya muda gani .!!!
 
Ndugu wana Jamvi toka tuambiwe Mzee Kinana katumwa India kwa Matibabu naona kimya kingi na sijamtia machoni Mzee wetu huyu rafiki wa dingi wangu, mpambanaji shujaa aliye ongoza mapambano ya kuiokoa ccm pale ilipoelekea kuzama kwa hakika nimemmiss sana. Je bado hajarudi alipo tumwa kutibiwa ??? Naomba mwenye Taarifa atujuze please.
 
nimekumbuka wakati wa ujinga unataka kumchapa house girl na kuna mtoto basi mnakatuma baliiiii kununua pipi....nenda kuleeee kwa mangi duka la mtoni km 4.mungu anirehemu
 
Ndugu wana Jamvi toka tuambiwe Mzee Kinana katumwa India kwa Matibabu naona kimya kingi na sijamtia machoni Mzee wetu huyu rafiki wa dingi wangu, mpambanaji shujaa aliye ongoza mapambano ya kuiokoa ccm pale ilipoelekea kuzama kwa hakika nimemmiss sana. Je bado hajarudi alipo tumwa kutibiwa ??? Naomba mwenye Taarifa atujuze please.
Ametumwa India kutibiwa..
 
Back
Top Bottom