Katibu Mkuu CCM, Abdurahman Kinana, kimya kimezidi

Eti ametumwa kwenye matibabu india!!!,dahh!kiswahili shida english shida

Mkuu akiwa na Hasira na Mitandahimba ikimzidi Basi Uhusiano wa Ubongo na Mdomo huwa unadorora!

Tangu kakalia Kiti hajawahi kutoa hotuba ya Bashasha yeye kila akisimama ni Mkwala, biti, Michambo na Lawama kwa kwenda Mbele!
 
Ndugu wana Jamvi toka tuambiwe Mzee Kinana katumwa India kwa Matibabu naona kimya kingi na sijamtia machoni Mzee wetu huyu rafiki wa dingi wangu, mpambanaji shujaa aliye ongoza mapambano ya kuiokoa ccm pale ilipoelekea kuzama kwa hakika nimemmiss sana. Je bado hajarudi alipo tumwa kutibiwa ??? Naomba mwenye Taarifa atujuze please.
Kama ni rafiki na dingi yako inabidi umuulize dingi yako
 
Umesemwa ametumwa India kwa matibabu! Inawezekana

1. Bado hajarudi
2. Hajatumiwa nauli
3. Anasubiri apone kabisa maana anajua akirudi kupanda lori na dereva mwenyewe plus barabara anaweza akaumwa tena.

4. Au amesharudi ila amejifungia nyumbani anasubiri amri ya kutoka.
 
Kuna uwezekano mkubwa tukampokea kutoka kwenye buti ya ndege, maana mgonjwa kutumwa kwenda kutibiwa unakuwa hujiwezi uko hoi bin taabani!
 
mara ya mwisho alitumwa na rais kwenye matibabu India , Sasa sina hakika kama alirudi au bado yupo India.
 
Ukisikia kukurupuka ni hivi ufanyavyo.

WATANZANIA ewe MUUMBA hebu tupe busara ya kuweza kufikiria na kusema wenye, bila kuendeshwa kama gari la remote. tuepushe na ujinga huu wa kuendeshwa kwa remote control tena zilizo kwisha charge.

Pole sana ndugu yangu, wiki ya jana alikuwa pale Lumumba na aliwaambi watu hakwenda India wala Canada bali alikuwa uingereza .

Sasa kama huko totally mentali controlled basi utaamini la zivyo endelea kugonga miamba.
. !!???

Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom