Katibu Mkuu CCM, Abdurahman Kinana, kimya kimezidi

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amewatoa hofu watanzania kuhusu alipo Katibu Mkuu wa CCM, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ambaye hajaonekana hadharani kwa muda mrefu sana.

Polepole amesema kwamba, Kinana yupo kwenye mapumziko pia ni mzima wa afya mara baada ya kurudi toka India kwenye matibabu.

Source:
Azam News
Hp kuna kitu anakificha kwsbb anachoongea hakina ukweli wowote.
 
Back
Top Bottom