Aloo unaulizwa wapi sio aliitwa bali alijiita ? Maana hata wewe unamwita Yesu ni Mungu wako ,wapi alikwambia umwite hivyo ????????????????????? hata wewe au mimi naweza kusema baba yangu alie mbinguni ,hio hainamaana mimi ni mtoto wa Mungu ,nyie huko mnamwita Nyerere baba ,Je Nyerere ni baba yako ? Na je wewe ni mwanawe ?
Embu weka jibu hapa wacha longolongo wewe na kuzidi kuwapotosha wenzako .
Wapi amejiita hata wewe ukamfuata ?
Wapi katika hiyo bibilia yako yesu alisema yeye ni Mungu ? Did Jesus Ever Say "I Am the Son Of God" Je Mungu wa wakirsto anazaa ?
Nyie msiokuwa na upeo mnaoishi katika nguvu za giza hivi mnajua ya kuwa hakuna mtu alimuona Mungu ,Je huyo Yesu mnaemwita Mungu alionekana au hakuonekana ?
Exodus 33:20~And He said, Thou
canst not see My face, for there shall no man see Me and live.
Matthew 6:6: ~"But when you pray, go into your room, close the door and pray to your Father,
who is unseen. Then your Father, who sees what is done in secret, will reward you."
1 Timothy 1:17: "Now to the King eternal, immortal,
invisible, the only God, be honor and glory for ever and ever. Amen."
1 John 4:12:
"
No one has ever seen God; but if we love one another, God lives in us and his love is made complete in us."
Yesu kaonekana au hakuonekana ,katundikwa kwenye mti au sivyo hivyo Jaribuni kuficha upumbavu wenu.
,Aidha nyinyi mtakuwa mnasema uongo au bibilia itakuwa inasema uongo ,lakini msitafute visingizio kwa vya Qurani imesema hivi au impinga lile mtapata shida sana kwa hilo na hamtaiweza.