NAONA POVU LINAKUTOKA KWELI KWELI. Yesu kujíita mwana wa MUNGU...
Wala sishangai maana msingi wa Quran ni kupinga kilichoandkwa kwenye Biblia. KWAHIYO UNATIMIZA WAJIBU WA KURAN
UKIUDHIKA SANA SOMA QURAN 9:5. Halafu njoo uniue..
Yesu hajajiita mwana wa mungu ,wewe ndio umemwita ,msingi wa Qurani ni kupinga uwongo wenu na uchomekeaji ,eti Yesu ni Mungu ,Yesu ni Mwana wa Mungu hamjui wapi pa kushika ,wapotofu wakubwa ,haya mnaitwa uingereza sasa ,ha ha ha na bado .
Soma hapa uamke ,huko ni uongo kwa kwenda mbele. Eti yesu ni mungu ,yule alionekana akaning,inizwa kwenye mti ndie mmeambiwa ndie mungu ,mnayo kazi.
Wapi katika hiyo bibilia yako yesu alisema yeye ni Mungu ? Did Jesus Ever Say "I Am the Son Of God" Je Mungu wa wakirsto anazaa ?
Nyie msiokuwa na upeo mnaoishi katika nguvu za giza hivi mnajua ya kuwa hakuna mtu alimuona Mungu ,Je huyo Yesu mnaemwita Mungu alionekana au hakuonekana ?
Exodus 33:20~And He said, "Thou
canst not see My face, for there shall no man see Me and live."
Matthew 6:6: ~"But when you pray, go into your room, close the door and pray to your Father,
who is unseen. Then your Father, who sees what is done in secret, will reward you."
1 Timothy 1:17: "Now to the King eternal, immortal,
invisible, the only God, be honor and glory for ever and ever. Amen."
1 John 4:12:
"
No one has ever seen God; but if we love one another, God lives in us and his love is made complete in us."
Yesu kaonekana au hakuonekana ,katundikwa kwenye mti au sivyo hivyo Jaribuni kuficha upumbavu wenu.
,Aidha nyinyi mtakuwa mnasema uongo au bibilia itakuwa inasema uongo ,lakini msitafute visingizio kwa vya Qurani imesema hivi au impinga lile mtapata shida sana kwa hilo na hamtaiweza.