Katiba Siyo Inayochagua Viongozi-Nape

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,136
2,000
sijawahi kushawishika kuamini kwamba Nape siyo analyst lakn juzi nimeamini hilo baada ya kumsikia kupitia ITV akisema Katiba siyo inayochagua viongozi hovyo UKAWA wasijidanganye

Naamini Nape umo humu tafadhali tupe ufafanuzi
 
yunuskb

Member
Apr 2, 2014
55
0
Nape anafahamika kuwa ni mpiga debe asiyetumia hata chembe ya ubongo wake, anaburuzwa na mapenzi ya chama chake CCM kiasi cha kutojua hata anaongea nn, anasahau kuwa CCM wapo kwa sababu ya mapungufu yaliyopo kwenye katiba ya sasa, na anajua hivyo ila anajivika uendawazimu kila anapovaa gwanda la kijani
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,136
2,000
Nape anafahamika kuwa ni mpiga debe asiyetumia hata chembe ya ubongo wake, anaburuzwa na mapenzi ya chama chake CCM kiasi cha kutojua hata anaongea nn, anasahau kuwa CCM wapo kwa sababu ya mapungufu yaliyopo kwenye katiba ya sasa, na anajua hivyo ila anajivika uendawazimu kila anapovaa gwanda la kijani

sikutaka kuamini kabisa lakn najua kwa sababu amesomea propaganda anaitumia vizuri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom