katiba mpya ya ndoa na mapenzi ingia Hapa

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
wana jamvi wenzangu mi naomba tutengeneze hiki kitu ili Ituongoze na ipunguze migogoro majumbani...Naanza
1.Ndoa isiwe pingu za maisha bali iwe kwa awamu km vile uraisi na ubunge,namaani-sha kila anavyochaguliwa rais mpya nawe oa au olewa na mwingne
2.Tendo la ndoa litafutiwe sara maalum ili kabla watu hawajaanza kufesibuka wasali kwanza.Hii itapunguza kuzaa watoto vilaza
3.mahali itolewe na wanawake pia

4.......,
5.....
6........
endelea...
 
Wafia ndoa watajaza hapa;
Mie nshajituliza kwa mwana siasa
Masharti ni kupumzika siku nne ndani ya kila mwezi;
 
Haaaa
unataka nikupe na jina kabisa;[
QUOTE=Baba V;7228621]Ndo alivyokudanganya zubedayo_mchuzi kuwa yeye ni mwanasiasa!?? imekula kwako.[/QUOTE]
 
wana jamvi wenzangu mi naomba tutengeneze hiki kitu ili Ituongoze na ipunguze migogoro majumbani...Naanza
1.Ndoa isiwe pingu za maisha bali iwe kwa awamu km vile uraisi na ubunge,namaani-sha kila anavyochaguliwa rais mpya nawe oa au olewa na mwingne
2.Tendo la ndoa litafutiwe sara maalum ili kabla watu hawajaanza kufesibuka wasali kwanza.Hii itapunguza kuzaa watoto vilaza
3.mahali itolewe na wanawake pia

4.......,
5.....
6........
endelea...

Katiba ipo labda kama una mapendekezo ya kufanya marekebisho waone Judgement na ruttashoborwa wakupe maelekezo..
 
Last edited by a moderator:
tena kuruka ukuta nayo iwe na katiba yake yenyewe,cjui isomeke aje
 
kuwe na kifungu cha kufananisha mapenzi na sheria za mpira kama ifuatavyo; 1.kwenda kwa demu bila ruhusa yake ni OFF SIDE 2.Kutongoza manzi na kupiga siku hyo hyo ni FREE KICK
 
teh teh teh! we noma!!
 
kuwe na kifungu cha kufananisha mapenzi na sheria za mpira kama ifuatavyo; 1.kwenda kwa demu bila ruhusa yake ni OFF SIDE 2.Kutongoza manzi na kupiga siku hyo hyo ni FREE KICK

hahahaaaa!!hii kali
nijipitie zangu mie
 
1....NO kubwa

5..uwazi uongezeke katika ndoa,
wanandoa wapeane password
za kila kitu
 
Back
Top Bottom