huuu ubinafsi ndo unanikera jf mana nimeomba ushirikiano lakini naona nimepotezewa tu mimi sio gamba jamani
Mkuuu unataka niende kwenye chama chenu kuulizia uloya wako uliupataje mkuu Ruttashobolwa
Au nianze mchakato wa kukuondoa kuwa loya wa chit chat kutokana na kukosa sifa za kuwatetea member wa chit chat maana naona unapendelea na kusikiliza upande mmoja
objectiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooon sustained
natolewa na shem wangu
hahahahahahaha @mr rock hapo sijamtetea nimejibu swali kulingana na swali. na hii imesaidi kumpata muhusika kumbe ni wewe. leta madai yako,
nisaidie kumshawishi
aandike twalaka basi
labda wamteke
wamlazimishe akae huko
ili mimi nigadhibike,ananipenda atiii
atakuja tu mtamuona!!
Hakika> nimeshafika my Passion Lady hakuna wa kuniteka
Lakini hilo tangazo lilitakiwa litolewe baada ya pande zote kushirikishwa wewe huna haki ya kumtangaza mteja wangu yuko single bali una haki ya kujitangaza huko single hivyo ulikosea kabisa maana hujamshirikisha.Hizi taarifa za defamation hapa hakuna tunasema ukweli bana
Kama mtu kaachwa anaruhusiwa kutamkwa kuwa yuko single na wanaume ambao wako single wanahitajika kuambiwa kuwa fulani kaachwa na yuko single ili wapambane wapate nafasi yankumpata na ndo linalofanyika kwa Mamndenyi
Wapo akina Arushaone na Bishanga na Slave na Vin Diesel wako single lazima waambiwe kuwa Mamndenyi ameachwa bana
Au loya unaona hapo kuna kosa
Umemtelekeza binamu yangu Passion Lady muda wote sasa unajianya kumpeetipeti eeehh au nimwambie agome
Lakini hilo tangazo lilitakiwa litolewe baada ya pande zote kushirikishwa wewe huna haki ya kumtangaza mteja wangu yuko single bali una haki ya kujitangaza huko single hivyo ulikosea kabisa maana hujamshirikisha.
kumbuka kuwa hakuna anaye beba haki ya mwenzie bali kila mtu ana beba haki yake.
Nakushauri umuombe radhi Mamndenyi kwa kuingilia haki yake na maamuzi yake,
hahhahahahaha your wrong my akanana sijamtelekeza alikuwa ana wapima tuu.
huuu ubinafsi ndo unankera jf mana nmeomba ushirikiano lakini naona nimepotezewa jamani
Mr Rocky wewe unajambo lako mtimani, huwezi tamka hadharani kuwa mie nipo singo,wakati unajua nnao wawili.Hizi taarifa za defamation hapa hakuna tunasema ukweli bana
Kama mtu kaachwa anaruhusiwa kutamkwa kuwa yuko single na wanaume ambao wako single wanahitajika kuambiwa kuwa fulani kaachwa na yuko single ili wapambane wapate nafasi yankumpata na ndo linalofanyika kwa Mamndenyi
Wapo akina Arushaone na Bishanga na Slave na Vin Diesel wako single lazima waambiwe kuwa Mamndenyi ameachwa bana
Au loya unaona hapo kuna kosa
Nimeuliza tu bibie....ana tabia ya kusingizia anaumwa
Acha kumdanganya mwenzio!
OOOH my akanana Passion Lady swala la talaka sahau kabisa bado nakupenda sana.
Najua Arushaone anataka nikupe talaka lakini sitokuja kutoa mwambie amechelewa kwanza hajui uchungu wa mke maana hana mke ameachwa.
Hakika> nimeshafika my Passion Lady hakuna wa kuniteka