Kama vipi tukajifunze kwa wenzetu wa Swaziland a.k.a Eswatin, ili kuona ni kwa namna gani waliweza kupata ujasiri wa kupambana na lile lidubwasha lao, kiasi cha kulilazimisha kukimbilia uhamishoni..
Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi...
Hakika umenena kwel,hawawez kujichimbia kabur lao wenyw
Vyombo vingi vya habari vinatoa taarifa hizo za yeye kukimbilia Afrika ya Kusini. Na mbususu zake zote atakua amezibeba bila shaka!Hivi ni kweli limekimbia nchi,vipi kuhusu wale mbususu wake
Kama Mwenyekiti wa kudumu hataki kuachia hatamu je ataheshimu katiba kwa kutoka madarakani endapo akiwa Rais wa nchi?
Chama kinachodai katiba kina kasoro za kikatiba katika chama chao.
Tuonesheni mfano kwanza isije ikawa mnatufundisha msichoweza kukifanya Mwenyekiti wa kudumu apumzike na wengine waongoze.Jomba hii katiba co ya chadema,achen kupenda mbeleko hoja ya katiba mpya haijaanza jana wala juz
Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi.
Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi...
Tuonesheni mfano kwanza isije ikawa mnatufundisha msichoweza kukifanya Mwenyekiti wa kudumu apumzike na wengine waongoze.
Kama Mwenyekiti wa kudumu hataki kuachia hatamu je ataheshimu katiba kwa kutoka madarakani endapo akiwa Rais wa nchi?
Chama kinachodai katiba kina kasoro za kikatiba katika chama chao.
Hapana Mwenyekiti wa kudumu atuoneshee kwa mifano aachie na wengine waongoze then tutamuelewa.Nasema hv acha kuwa zumbukuku,kwnn mnapenda huu mserereko uliopo ktk hii katba chakavu ya chama chakavu?????
Katiba za vyama zimekuwa za hovyo kwa sababu ya katiba mama ya nchi. Laiti tungekuwa na katiba nzuri inayotenganisha mamlaka za kidola wala upuuzi usingekuepo kwa wananchi hata watawala.Kama Mwenyekiti wa kudumu hataki kuachia hatamu je ataheshimu katiba kwa kutoka madarakani endapo akiwa Rais wa nchi?
Chama kinachodai katiba kina kasoro za kikatiba katika chama chao.
Hapana Mwenyekiti wa kudumu atuoneshee kwa mifano aachie na wengine waongoze then tutamuelewa.
Sasa kama katiba ya wananchi sasa kwanini mwenyekiti wa kudumu anatuongelea utafikiri tulikaa na akakusanya maoni yetu?Katiba ni ya wananchi. Wanaoihitaji ni wananchi.
Mwenyekiti wa wananchi wepi unayemwongelea wewe?
Sasa mwenyekiti wa kudumu aanze kuibadili ya chama then aachie madarka kwa wengine hapa lazima tuwaunge mkono kurekebisha hii ya nchi.Katiba za vyama zimekuwa za hovyo kwa sababu ya katiba mama ya nchi. Laiti tungekuwa na katiba nzuri inayotenganisha mamlaka za kidola wala upuuzi usingekuepo kwa wananchi hata watawala....
Tokea enzi za Pontio Pilatohuyo mwenyekit wa kudumu tokea lin????