Katiba mpya na uboreshaji elimu, afya na kilimo: Mbadala wa uchaguzi 2019/2020?

soine

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,113
2,329
Habarini WanaJF,

Nawaza tu kwa sauti kama sio kuota ndoto za mchana!!

Kulingana na hali halisi ya kisiasa hapa nchini ilivyo...demokrasia sasa ni msamiati pendwa kama sio adimu.

Sheria ya vyama siasa naweza sema ni kama "msumari wa mwisho kwenye jeneza" kwa siasa za upinzani Tanzania.

Hata ndani ya chama tawala hakuna tena free and fair election, bali kuna wateule na lazima wapite bila kupingwa.

Tume ya uchaguza wana usalama wetu wote wanajua wako upande gani ktk chaguzi zetu.

Kwa haya na mengine mengi, je kuna haja gani ya kuwa na chaguzi zinazotumia pesa kibao wakato golini hayupo golikipa?

Tuwekeze za uchaguzi kwenye kutengeneza katiba mpya, na kuboresha kilimo, elimu na afya!!
 
Back
Top Bottom