Sufa
Member
- Nov 26, 2006
- 30
- 1
Akisisitiza umuhimu wa kumtanguliza Mungu kwa kila jambo, Lowassa alisema anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpitisha salama katika wakati mgumu.
Namshukuru Mungu hata katika kipindi kile ambacho nilikuwa naandamwa sana, niliyaweza magumu yote katika yeye anitiaye nguvu, tuendelee kumtegemea Mungu. Amina.Tanzania Daima