Katiba Mpya na Mahubiri ya EL Shetani Msalabani?

Sufa

Member
Nov 26, 2006
30
1
Akisisitiza umuhimu wa kumtanguliza Mungu kwa kila jambo, Lowassa alisema anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpitisha salama katika wakati mgumu.

“Namshukuru Mungu hata katika kipindi kile ambacho nilikuwa naandamwa sana, niliyaweza magumu yote katika yeye anitiaye nguvu, tuendelee kumtegemea Mungu. Amina.”
Tanzania Daima
 
kweli huyo mungu wako ni noma. yaani mpaka hata kuwaibia watu bado alikutangulia! Du!
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaahaaaa si niliskia eti hata wezi wakienda kuiba hua wanamshirikisha sir GOD?
 
probably siku za mwisho zimekaribia eti, Si unajua sahivi ndio anajisafisha kwa ajili ya 2015, labda aanzishe chama chake ndio atagombea kwa CCM haiwezekani kamwe.

Najua wanafikiri waTZ bado ni wajinga.

Hatudanganyiki....
 
Back
Top Bottom