zege ngumu
Member
- May 18, 2013
- 41
- 5
Mungu aweke mkono wake katika jambo Hilo,waongo wafichuriwe mapema
Mungu haweki mkono wake kwa watenda dhambi kama hawa.Mungu aweke mkono wake katika jambo Hilo,waongo wafichuriwe mapema
Kila la kheri, ingawa hawakawii kugeukana mbele ya safari.
Mbona send off inafanyika
jumapili halafu harusi itakuwa jumatatu sijawahi kuona harusi ya namna
hii.
Watu bhana, mara bendera ya.... Inaonekana sana?? Hivi mnakosaga hoja??
Na TLP,CHAUMMA, na vyama vingine havijaalikwa? au hawausiki kwenye katiba???
haaa magamba imekula kwao mazima!!!
wamtafute balozi wa marekani ndio waende naye kwenye mikutano yao ya hadhara!!
Mbona send off inafanyika jumapili halafu harusi itakuwa jumatatu sijawahi kuona harusi ya namna hii.
Jamanii tusiwe watu wakukurupuka tu jana mlikuwa mnafoka mara cuf hawataki chadema mara hii sasa picha hizo hapo hatujajua wanaongea nini inawezakuwa ni kikao cha harusu