Katiba Mpya: CHADEMA, CUF na NCCR- Mageuzi wakutana na wanahabari Sept 15, 2013

Mbona send off inafanyika jumapili halafu harusi itakuwa jumatatu sijawahi kuona harusi ya namna hii.
 
Mbona send off inafanyika
jumapili halafu harusi itakuwa jumatatu sijawahi kuona harusi ya namna
hii.

mkuu, hapo ndo utakapoamini kuwa hiyo si ndoa halisi bali mmoja analazimika afunge ndoa ili apate cheti cha ndoa ambacho kitamsaidia kwenye suala la uhamisho kutoka zenji hadi Tanganyika
 
Na TLP,CHAUMMA, na vyama vingine havijaalikwa? au hawausiki kwenye katiba???

Kigezo kilichotumika nadhani ni lile sekeseke lililotokea kutokana na rungu la Ndugai hivyo waliotoka nje automatically ndio wameanzisha move wengine watafuata ni sawa mpo kikundi cha watu alafu mkakurupushwa kila mtu atakimbia kivyake kama ikatokea watatu mpo uelekeo mmoja basi na hapo ndio chanzo cha urafiki huanza kutokea
 
Narudia tena kama Kuna kitu ccm watakipiga vita kwa gharama yoyote Ile ni hii collabo. Adui wetu ni ccm kwa pamoja tutafika mbali.
 
Wafike mbali zaidi waue vyama vingine waunde kimoja ama la wasimamishe Ngombea uraisi mmoja.
 
Afica, africans!! we never learn any lesson! libya had every thing, now it is nothing but ruins and a gun for everybody, Egypt is burning and TZ is now another egypt in a making! tunastahili kwenda huko tunako kutaka kwa unafiki wetu! tunaimba "...

Taanzania tanzania, nakupenda kwa moyo wote halafu watu hao hao tunapanga kuivunja! shem on you all!! tunaimba tazama ramani utaona nchi nzuri,..... blah blah halafu tupo mstari wa mbele kuitokomeza kwenye ramani ya dunia!, tunimba Mungu ibariki Tz halafu tunafanya nini kuhusu hiyo Tanzania? afadhali wakenya wamepata matumizi ya jina Tanzania sasa hivi ni brand ya majani ya chai halafu humu humu tunalalama ohh wameiba jina letu, ......blah, blah!

CCM at least wanaonyesha wakiimba Taanzania, Tanzania they mean it!, wkiimba tazama ramani they mean it!, wakiapa kuitetea katiba they mean it! wana mapungufu mengi though lakini sii wanafiki! and kwa watu wenye akili issue sii katiba! issue ni gas! waafrika tulilaaniwa mali asili zituangamize badala ya kutunufaisha! Julius aliliona hili mapema akaamua kivyake watu hawkumuelewa now we are in ngoja tuone maana if we do not know where we are going, any way will take us there, in the name of katiba!
 
Msiojua siasa ya Tanzania ndiyo mnaoshabikia mkidhani yanayotokea kati ya vyama hivi vitatu. Nafikiri mmesahau historia ya Mbatia na kura za Maruhani, Lipumba na ushawishi wa kutaka wafuasi wake wampigie kura Kikwete 2010. Sasa wafuasi wa CHADEMA njia panda 2015.
 
Jamanii tusiwe watu wakukurupuka tu jana mlikuwa mnafoka mara cuf hawataki chadema mara hii sasa picha hizo hapo hatujajua wanaongea nini inawezakuwa ni kikao cha harusu

Habari za jana zilikuwa za kutengeneza hujashtuka tu!
 
Ah hakuna jipya kati yao kila chama kina vibaraka wa ccm,bora waachana na ishu hzo kwan bora ya mtawala mzalendo kuliko mtawala kibaraka kama hao wapnzan!hyo kwao itakuwa lbda mwaka 30000 kchkua nch kuna wanafki humo!
 
Huu ushirikiano mzuri. Mngefanya hivi 2015 ingekuwa poa japo kwenye urais. Ila najua hili hamuwezi kwa vile kimsingi ni wale wale.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom