OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Hapo ndo palikuwa panasubiriwa.. Salam zake kibaraka wa Magama Malim Seif Hamad.
pamoja sana mkuu nahisi hapo ulimaanisha magamba!
Hapo ndo palikuwa panasubiriwa.. Salam zake kibaraka wa Magama Malim Seif Hamad.
Sasa mnaonyesha njia ya
ukomavu! Please builder a strong coalition. Pale ambapo tunaweka itikadi
zetu penbeni na kuenzi uzalendo. CUF na NCCR, hii ndiyo Kete kubwa ya
CDM.
Wananchi wanahitaji mageuzi, wanahitaji viongozi wa kuwaongoza kuyafikia
hayo. Ajenda hii mkiipatia kipau mbele, nawahakikishia, 2015 wananchi
watawapatieni Kura sana.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
hiyo nimeipenda najua ccm hiyo kwao nimaumivu makali sana.basi ili tuotoe ccm madalakani inabidi hivi vyama vijipange 2015 viungane.
hiyo nimeipenda najua ccm
hiyo kwao nimaumivu makali sana.basi ili tuotoe ccm madalakani inabidi
hivi vyama vijipange 2015 viungane.
sina hakika kama hiyo ndoa itadumu maana CUF amefunga ndoa ya kudumu na CCM huko Zenji. bila shaka chadema atakuwa ni Kidumu tu na wakati wowote kitakimbiwa
DJ NYUKI
Siungu mkono hili ni mapema sana.
Kuna wengine kitendo hiko ni sawa na Kukata Kuti walilo kalia au kukata
Miraja inayowaweka mjini.
Ushahuri ni huu tu, washirikiane kwenye hili moja kwa sasa wakifaulu na
kuona inafaaa na wamefanikiwa kwa hili basi wakae chini na kukubaliana
mengine.
Next tym siandamani
tena wote kwenye hiyo picha ni wasaliti tu. hadi hapo tayari
wameshajigawa kwa kumuacha Lyatonga na viongozi wa vyama
vingine.
Yani hii nayo inataka kuwa hoja? Je vyama vingine amabavyo havijashirikishwa na vingependa kushiriki vitasema nini?