Katiba Mpya: CHADEMA, CUF na NCCR- Mageuzi wakutana na wanahabari Sept 15, 2013

Wanachojadili kwenye Kikao ni jinsi ya kupata Katiba Bora itakayodhibiti Ufisadi,Wizi wa Mali ya Umma,Mauaji ya Tembo,Usafirishaji wa Madawa ya Kulevya na Kuhonga Wachina Urithi wa Watoto wetu.Katiba hii ikipatikana CCM itabidi iondoke Madarakani maana Giza na Nuru haviwezi kuishi Pamoja.

Well noted wewe upo hapo kwenye kikao?
 
Huyo wa kwanza kushoto kavaa magwanda ya Chadema ni nani.
 
Ndugu yangu bila CCM kuondoka Madarakani,Hatutapata Maendeleo Kamwe.Viongozi wote wa Juu wa CCM wapo hapo walipo baada ya kufanya hujuma nyingi na wamekigeuza Chama kama sehemu yao ya kujiingizia Kipato na kulinda Miradi yao ya Kihalifu.Lazima Vyama vya Upinzani vikubali kuwa na ajenda Moja tu ya kumwondoa Mkoloni CCM.

Ccm wapenda amani
 
Wanajadili nini sijui wote hapo kila mmoja anawaza kugombea urais 2015 sijui kama Dr.Mrema alikuwepo.
 
Ndugu zangu lipumba, mbowe, mbatia na wengine. Hivi ndivyo watanzania wengine wapenda mabadiliko wanavyotaka.

Namna hii kazi ya kuiondoa ccm itakuwa rahisi zaidi kuliko tukienda mmoja mmoja. Kinyume cha hapo ccm wataendelea kufaidi minyukano ya sisi wapinzani wenyewe kwa wenyewe. Ccm wanaumizwa sana kupna sasa mnaongea lugha moja. Ondoeni ubinafsi tupemi raha watanzania
 
Ninyi watu kuweni wapinzani wa kweli kama mnataka kuikomboa nchi hii. Hao jamaa wengine hapo (Lipumba & Mbatia) ni mandumila kuwili. Hawako serious na ukombozi wa Taifa hili.
 


What matter most is the content of the gathering, agreement upon them and finally the will to implement and stand for, otherwise it is useless and the best ways is keep silence and do nothing
.

Time will tell and let us wait and see.
 
wamefanya la maana - NAWAPONGEZA SANA. Lakini kwa nini upambaji upendelee CDM kiasi cha kuifanya bendera ya chama chao ndo ionekane zaidi ya vingine?

Angaliya picha vizuri utapata taswira ya mahali mpiga picha alikuwa na hivyo muonekano mzuri zaidi wa chochote kilichokuwa karibu na kamera.
 
Wamefanya jambo jema kwa maslahi ya umma na taifa.

Hii collaboration iwe hivi hata wakati wa chaguzi zinazokuja ili kuwaondoa Magaidi ccm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wamefanya jambo jema kwa maslahi ya umma na taifa.

Hii collaboration iwe hivi hata wakati wa chaguzi zinazokuja ili kuwaondoa Magaidi ccm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Agaidi wakuu chadema, wamwagia watu tindikali na walisha sumu waroho wa madaraka hawatakubali
 
Mtahangaika sanaaa, lakini hamtafanikiwa. Ccm ndio baba yenu. Mungu bado anaitabiria mema ya kuiongoza hii nchi karne na karne
 
Navipongeza sana vyama vya siasa kwa ukomavu uliooneshwa, hakika sasa wanaonekana kuelewa maana ya vyama vya upinzani. Vyama hivi vikiungana kwa dhati hakika magamba wana wakati mgumu, ila tatizo moja tu hawachelewi kugombana tena.
 
Isitokee wengine wakawa wanazunguka kufanya mikutano ya siri Lumumba.. Watanzania tutaua mtu, sisi tunaiamini Chadema tu hapo na si vinginevyo... maana tunajua dhamira yake ya dhati juu ya mabadiliko hapa nchini...
 
Umoja vyama vya upinzani ndo utalinusuru taifa na huu ugonjwa ccm endeleeni kufanya kazi kwa pamoja na kuwatoa wote wanaowavuruga ndani ya upinzani wenu.Pamoja Tz itakombolewa
 
Back
Top Bottom