Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

Naamini kama ni Media Kakobe kaanza muda sana, na kama kusikika kwenye media za Bongo ndio kujiona basi Kakobe angeliweza kujisifu sana.

Suala hapa Kakobe huwa hatafuti kujikomba komba kwa watawala, tangu nimeanza kumsikia askofu huyu misimamo ambayo amekuwa anaitoa ni misimamo ambayo inakung'uta serikali, ndio maana hawana hamu nae.

Aliwahi kupinga nguzo za umeme zisipite kwenye kanisa lake kutokana na msongo mkubwa wa umeme. Serikali hii ya JK kwa jeuri na dharau wakati huo waziri wa nishati akiwa Ngeleja walipitisha umeme huo. Ila akawaonya kwa kuwa wametumia ubavu umeme wao hautawaka.


Serikali tangu imalize kufunga nguzo na kuweka nyaya, hawajarudi tena kuwaeleza watanzania, mradi huo wa MAKUMBUSHO- UBUNGO unafanya kazi?? na utazinduliwa lini?

sasa na hili la kuisambaratisha CCM alilitoa baada ya serikali kutoa majibu ya dharau kuwa haikupokea majina ya wapentekoste. Kakobe aliudhika sana na ile kauli akaamua kuomba na kuuliza kwa Mungu; serikali hii itawadharau wapentekoste hv hata lini??


majibu yaliyotoka yamo kwenye waraka alioutoa. Kitu cha ajabu Tangu waraka ule utolewe Kakobe hajawazi kuuzungumzia, aliutoa hivyo basi. Na wamo watu humu ambao nao naona wamejaa dharau kama serikali yetu, OLE WENU NINYI. Kakobe sio TB JOSHUA,


Acheni uongo nyie. Mpo kuhubiri ufalme Wa Mungu au Wa duniani hapa?
 
Wewe siyo tu kwamba una njaa kwenye akili bali oia ni mdini usiyeacha kuwanenea mabaya watumishi wa Mungu. Eleza hapa uongo aliowahi kuuzungumza Kakobe ewe mdini uliyekubuhu. Alisema umeme hautapita kanisani kwake na mpaka sasa hakuna umeme unaopita. Alisema hapatakuwapo na katiba. Ipo? Alisema mitafaruku itakuwepo ndani ya CCM na itakuwa mikubwa zaidi 2015. Uongo uko wapi? Mbona sioni watu wanaowakejeli mashehe lakini wewe kila kukicha unawashambulia watumishi wa Mungu? Una shida gani wewe mwanamke usiyemjua Mungu?


Haya mambo yote yana umuhimu gani na ufalme Wa Mungu? Au ni mambo ya kidunia? Yesu na mitume waliwahi kufanya mambo km haya? Au ni injili gani hii mnayoihubiri?
 
Kama unaona huu uzi ni wa kijinga mjinga ni wewe.

unatulazimishia huyo kakobe,hivi huwa anakulaga ndogo au?
kila siku unaupdate liuzi ambalo halina hata logic,kwahiyo unataka tufanyeje?....
mpe mkeo basi huyo tapeli wa kiroho mwenye fangas za mdomo ajili ya kunyonya naniliu za waimba kwaya.
 
Haya mambo yote yana umuhimu gani na ufalme Wa Mungu? Au ni mambo ya kidunia? Yesu na mitume waliwahi kufanya mambo km haya? Au ni injili gani hii mnayoihubiri?

Hujui Biblia ndo maana unatoa mchango wa namna hii. Post yako inashihirisha umbumbumbu wak9 katika neno la Mungu.
 
Hujui Biblia ndo maana unatoa mchango wa namna hii. Post yako inashihirisha umbumbumbu wak9 katika neno la Mungu.

Wewe unaejua biblia niambie haya mambo yana umuhimu gani ktk ufalme Wa Mungu?

Niambie tena Yesu ambaye ndio mfano wetu aliwahi kuhubiri injili km hii yenu?

Na mitume na wao waliwahi kuhubiri injili km hii?

Naomba majibu wewe unaeijua biblia!
 
Kakutisha nani? This is a plain truth. Post zako zinaakisi akili yako ndogo. Shule ndogo, akili ndogo ndo maana hujui maana ya neno tapeli.

Yah mi ni akili ndogo lkn sikubaliani na hizi hoja zenu za ajabu ajabu!

Mnaacha kufanya kz ya Mungu na kuingilia mambo ya siasa? Pandeni majukwaani mtambulike km wanasiasa!
 
Wewe unaejua biblia niambie haya mambo yana umuhimu gani ktk ufalme Wa Mungu?

Niambie tena Yesu ambaye ndio mfano wetu aliwahi kuhubiri injili km hii yenu?

Na mitume na wao waliwahi kuhubiri injili km hii?

Naomba majibu wewe unaeijua biblia!
Maswali mengine ulizia mafichoni kwanza
Tafuta kujua maana ya Injili kwanza,ujue maana ya Ufalme wa Mungu ukimaliza kujua ndio uulize maswali yako
 
Maswali mengine ulizia mafichoni kwanza
Tafuta kujua maana ya Injili kwanza,ujue maana ya Ufalme wa Mungu ukimaliza kujua ndio uulize maswali yako

Hayo ndio majibu ya maswali yangu niliyouloza? Mbona hamtoi majibu Bali mnakuja na style zingine tu?
 
simple arithmetic.masisiem walisha dilute heshima ya ikulu sasa wanona any dick tom and harry anaweza.in so doing lazima kunyanganyana kuwepoSO GOES THE SAYING"THE BASIC HUMAN NATURE IS SELFISHNESS' and that IN THE LAND OF THE BLIND THE ONE EYED MUST BE KINGMPO WATANZANIA WENZANGU ?
 
Back
Top Bottom