Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

wapi mchungaji gwajima, ambaye alituaminisha pale kwenye uwanja wa sheikh amri abeid kule arusha kuwa mzee wa mamvi ni chaguo la mungu?

kwani hao manabii walitabiri kuwa lazima awe rais kupitia ccm? Ivi nyie mkisikia ccm bas mnafikiri atakaeteuliwa n a ccm ndo rais watz? Huyo mnae mchaguwa atabaki kuwa rais wa ccm na sio wa watz kama ilivyo slaa kuwa rais wa watz wengi ila rais ni jk. Ful stop.
 
JK anatusaidia sana watz lkn sisi usaidizi wake hatuupi nguvu. Kimsingi kaisha iua ccm kilichobakia ni sisi kuizika tu.

Chonde chonde tumuunge ndugu yetu mkono kuelekea makaburini na kuizika kabisa
 
Hii bangi ya kuchanganya siasa na dini lazima hao wajiitao manabii itawaumbua
 
sielewiiiii uwiiiih!nani nabii wakweli kati yakakobe,tibii yajoshua,mgwangajima name yule aliyesema auliwe akikatwa Edo.duu? viongozi wamakanisa NJaa moto pesa mbele uwongo mwingi.
 
fikiria Nchimbi mwenyekiti wazamani wa vijana wa ccm ana thubutu kukengeuka hivyo.Sofia Simba ambaye ni waziri katika serikali hii ya jk na ana saliti
 
Kakobe ni Mtumishi wa MUNGU aliye hai Muumba wa mbingu na nchi kama hamuamini angalieni kama mpaka muda huu katiba imepitishwa na kama mchakato wake ulienda sawia?
 
Baada ya Laigwanani EL kukatwa kwenye CC ya ccm, manabii na mitume waliodai EL ni chaguo la Mungu na ujumbe alioitoa Kakobe mwaka java kuwa ccm itapasuka kabla ya u haguzi mkuu yanatimia? Mitume na manabii wengine walijiapiza kufa iwapo mtu wao hatapita[/QUOTE
ccm bado haijapasuka,so bado unabii wa kakobe haujatimia na lowasa bado anaweza kwenda chama kingne chochote akagombea labda akawa raisi,so tusibeze manabii waliojiapiza kufa,,
 
Baada ya Laigwanani EL kukatwa kwenye CC ya ccm, manabii na mitume waliodai EL ni chaguo la Mungu na ujumbe alioitoa Kakobe mwaka java kuwa ccm itapasuka kabla ya u haguzi mkuu yanatimia? Mitume na manabii wengine walijiapiza kufa iwapo mtu wao hatapita

Mkuu Mkulima wa Kuku, anaweza kuwa chaguo la mungu lakini siyo Mungu. kunatofauti ya mungu vs Mungu hahahaha...

Hata hivyo anaweza kuwa chaguo la Mungu, na kuwa chaguo la Mungu siyo lazima awe CCM
 
Last edited by a moderator:
baada ya laigwanani el kukatwa kwenye cc ya ccm, manabii na mitume waliodai el ni chaguo la mungu na ujumbe alioitoa kakobe mwaka java kuwa ccm itapasuka kabla ya u haguzi mkuu yanatimia? Mitume na manabii wengine walijiapiza kufa iwapo mtu wao hatapita
namtangaza kakobe kama nabii
 
Aah, Kakobe kwa vitisho bwana, kama vile JK atamsikia. Humjui JK nini, yeyey atasema ni upepo tu huu wa Bunge la Katiba! Kuna mambo makubwa zaidi ya hili la Wajumbe wa Pentokosti kwenye Bunge la Katiba yamepita na wala JK hakutikisika.

kama huna macho ya kuona pole.
Kuanguka kwa sh.
Ugumu wa maisha
ccm inapoteza umaarufu
Tangu lini uliona ccm inaenda kama iendavyo sasa... Hata kufuata ratiba imekuwa issue
muda bado October haijapita.
 
Back
Top Bottom