Katiba ikipita Itadharauliwa Dunia nzima

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Kama hii katiba itavuka huko mitaani basi ni katiba itakayodharauliwa dunia nzima na haitaheshiwa pia uhalali wake unaweza kuhojiwa mahakamani na kesi za kimataifa kwani uhalali wake ni wa kutia mashaka.
 
Dua la kuku hilo halimpati mwewe
 
Wanaiba bila kujua mahesabu
kuna mkubwa fulani kasema eti zitafanyiwa marekebisho. Cha kushangaza zaidi ukizifuatilia hata marehemu walipiga kura. Busara itumike hii shughuli ianze upya 2016. Turudi kwenye rasimu ya TUME sio hii ya akina chenge na sita. Ila BMK ni kichekesho, hivi kweli Chenge na kashfa zote hizi, bado wanampa kazi ya kuandika katiba?
 
kama wameweza kuiba kura chache za wajumbe wa bmk na tumekaa kimya cdhan kama watashindwa kuiba za mamilion ya watz. me nadhan ilitakiwa kufanya kitu mapema kabla ya hizo kura!
 
kuna mkubwa fulani kasema eti zitafanyiwa marekebisho. Cha kushangaza zaidi ukizifuatilia hata marehemu walipiga kura. Busara itumike hii shughuli ianze upya 2016. Turudi kwenye rasimu ya TUME sio hii ya akina chenge na sita. Ila BMK ni kichekesho, hivi kweli Chenge na kashfa zote hizi, bado wanampa kazi ya kuandika katiba?

Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana
 
Kama hii katiba itavuka huko mitaani basi ni katiba itakayodharauliwa dunia nzima na haitaheshiwa pia uhalali wake unaweza kuhojiwa mahakamani na kesi za kimataifa kwani uhalali wake ni wa kutia mashaka.
Mbona Katiba zao zinaruhusu ushoga hazidharauliwi? Hii ya kwetu kwa kuwa haina Srikali 3 ndio tuseme ndio wao linawakera?
 
Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana
Tuna safari ndefu mpaka kuyafikia maendeleo ya kweli. Ila tufahamu wenzetu mashariki ya mbali wamefika walipofika kutokana kuwa na dhamira ya dhati, hapa nyumbani naona tunafanya utani kwenye maendeleo,
hatuna hata dira ya kitaifa
 
hatuna professionalism kwa yote tunayofanya,, yan tupo kwenye bora liende tu
 
Itakuwa Katiba pekee inayowapa nafasi wananchi wake kuanza kufuta ujinga baada ya kuwa viongozi. Sijui hawa viongozi watawatumikia wananchi au kujiendeleza kielimu, poor Tanzania na maajabu ya Dunia!
 
Mwiba ...msemaji wa dunia nzima....mashallah, katika watu punguani wewe unaongoza.....ati dunia idharau katiba yetu...hatuingiliwi ila wewe kama raia na kama una hoja zenye mashiko waweza kwenda mahakamani kuipinga na sio kutuletea uongo usio na tija huku....Hujajifunza bado kutoka kwa Kubenea?...kaenda mahakamani kala mwereka wa mende.....
Kama hii katiba itavuka huko mitaani basi ni katiba itakayodharauliwa dunia nzima na haitaheshiwa pia uhalali wake unaweza kuhojiwa mahakamani na kesi za kimataifa kwani uhalali wake ni wa kutia mashaka.
 
Mwiba ...msemaji wa dunia nzima....mashallah, katika watu punguani wewe unaongoza.....ati dunia idharau katiba yetu...hatuingiliwi ila wewe kama raia na kama una hoja zenye mashiko waweza kwenda mahakamani kuipinga na sio kutuletea uongo usio na tija huku....Hujajifunza bado kutoka kwa Kubenea?...kaenda mahakamani kala mwereka wa mende.....

Michango yenye kejeli kama hizi zinakera sana kwa kweli!
 
Mtungaji mweledi.....umepata mpaka jedwali(la kutunga) na kupata tofauti usiyoielewa....sasa umefanya nini....hesabu, takwimu, uhasibu, au magazijuto?.........halafu bila aibu ati unasema wanaiba...akina nani?...mbowelipumbambatia au?.....idadi ya wajumbe waliokuwepo mjengoni hukuiona????au huna luninga....kama kusoma hujui je hata picha?????
Wanaiba bila kujua mahesabu
 
Back
Top Bottom