engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Barua imekaa kisomi, SASA subirini muone watu watakavyoingia mkenge.
Kesho wavaa lapaz watatoa waraka/tamko, juu ya hii barua ya kisomi.
Subirini muone.
kiburi si maungwana,dharau hazitakupeleka popote pale wala hazita kuongezea kibaba cha unga,ni upeo hasi ulio nao ndio unakusumbuwa,kaa chini fikilia,acha uzumbukuku wa kupayuka kwa mlevi barabarani.
Wote tuna akili za kufikilia na kutenda Je kuna mvaa lapa yeyote aliye wahi kuja kwako na kuomba kibaba cha unga
na kubaliana na askofu na maoni yangu yapo kurasa ya pili ya thread hii