beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,881
- 6,378
Habari zenu wadau?
Kati ya hizo computer mbili hapo juu, computer ipi ina parfomance nzuri zaidi hususan upande wa graphics, na je kwa bajeti ya chini zaidi naweza kupata kwa kiasi gani kwa hapa dar es Salaam endapo ikiwa na Ram 4, hdd 500 na VGA 1GB ? Used.
Naomba mawazo yenu na kama mtu anayo isiyozidi 200,000 CPU tu bila monitor aniuzie, au laptop i3 isiyozidi 300,000. kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia whatsapp namba +1 929 400 4589.
Nawasilisha.