Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 2,015
- 3,030
Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake?
Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu wenu Allah hakuweza kabisa kulinda vitabu vyake. Kitabu cha kibinadamu cha Hadith kimelindwa na wanadamu ila Allah hana kabisa uwezo wa kulinda vitabu vyake....Mungu wenu mnamuonaje?
Ila huyo huyo Allah anasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu anaweza kubadilisha maneno yake (quran6:34) lakini bado mnampinga na kusema wapo walioweza kubadilisha.
Yaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. Ni sawa na una mbuzi 100 Kisha mbabe mmoja anajitokeza anakuvamia na kuchukua 75 unabaki na 25, we ni dhaifu sana umeshindwa kulinda mali yako.
Sasa nipo njiapanda, waislam mnisaidie. Tuwaamini nyie kwamba vitabu vyake vitatu vimeharibiwa kwamba yeye hana uwezo wa kuvilinda au tumuamini yeye aliposema hakuna wa kubadilisha maneno yake na kwamba sasa nyie ni waongo kusema vimebadilishwa?