tundu007
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 260
- 136
habary wanajamvi! kutokana na kua na mitandao nyingi nchini ipi hasa mtandao ulio mzuri kwanza kwa huduma bora!na pili unafuu kwa hally yetu ya vyuma vimekaza?mie ni mteja mzury wa voda na kwangu mie nimewaona wako vizury ila kuniondolea zile vifurushi vya ofer basi naona kama itanishinda kwa kua jamaa wapo juu sana kwa bei!sasa je naweza kupata ushaury wa mtandao gani ni afadhali kwa bei ya matumizi na ipo vizury kwenye huduma?