Kati ya Vodacom na Halotel upi mtandao mzuri?

Kati ya Vodacom na Halotel upi mtandao mzuri?

Inategemea unahitaji nn na kwa ajili ya nn mm vodacom ndio baba na ndio mama yangu wakifunga kampuni na mm ntakufa ghafla
 
Halotel napata gb 10 kwa mwezi kwa shilingi elfu kumi na dakika kibaao za airtime. Voda napata gb 10 kwa mwezi kwa sh 35,000 bila airtime. Unaweza kuona tofauti hapo.
Ila hapa umepambanisha kifurushi cha Chuo(Halotel) na kifurushi cha kawaida(Voda) nadhani mpambano hautakuwa fair.
 
Kabla sijajibu...... Hivi
Nzury
Vizury
Ushaury
Habary
Hally...........
Aisee we ni mtanzania kweli???? au umedhamiria kutuchafulia lugha......
ni uandishi gani mbovu kiasi hiko????
Halotel wako vizuri
80b1be765027ceffe6b00aeaea35ab59.jpg
 
Halotel internet speed imekuwa too slow afu siku hizi hata sehemu zilizo kuwa zinasoma 4G/3G sasa hivi ni E mwanzo mwisho.
 
Kiukweli HALOTEL siku hizi wamechoka sana, mpaka wanaboa, HASA Internet yao inaboa sana, tumeamua kurud VODA tu.
 
Mzuri Voda, hasa 4G, ila bei ziko juu, Halotel ni cheaper ila haiko fasta, choice yako, quality au bei..
 
Back
Top Bottom