The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,587
In general , overall voda wako vzr aiseh
Mkuu vipi coverage ya halotel? Je ni nchi nzima?Halotel napata gb 10 kwa mwezi kwa shilingi elfu kumi na dakika kibaao za airtime. Voda napata gb 10 kwa mwezi kwa sh 35,000 bila airtime. Unaweza kuona tofauti hapo.
Mwanzoni halotel inatoka nilinunua kukimbia gharama za voda ikanishindwa kwa net yao ilikuwa slow sijui sababu ya location au nn ,airtel nikaenda nikawakimbia ikanibidi nirudi voda mpaka leo japo ni kwaajili ya net tu
Labda saizi halotel watakuwa wamebadilika subiri nitafute laini yao ,voda wana gharama Sana wanatukamua
Halotel iko poa sana...HALOTEL NI KAMA CHADEMA NA VODACOM NI kama CCM ukiwa hujawahi kuitumia huwez jua utamu wake.kwanza ni iko faster and easy to handle!
Huu ni mtandao mpya eeHalogen ndio mpango mzma
teh teh tehKabla sijajibu...... Hivi
Nzury
Vizury
Ushaury
Habary
Hally...........
Aisee we ni mtanzania kweli???? au umedhamiria kutuchafulia lugha......
ni uandishi gani mbovu kiasi hiko????
Halotel wako vizuri
Hii tabia wameanza punde baada ya kuchezea ma faini ya TCRA kule.Halotel waizi wa MB....!! Yani MB 500 sekunde zishaishaa...
HALOTEL.WAIZIIIII...WAIZII
UwongoHalotel waizi wa MB....!! Yani MB 500 sekunde zishaishaa...
HALOTEL.WAIZIIIII...WAIZII
We utakua wakala wa voda aiseeUkitaka internet bora basi voda wanaongoza kwa Tanzania ,network yao ipo juu na bora zaidi
Kuhusu gharama voda wana gharama kubwa hio ndio tatizo lao lakini vitu bora huwa na gharama kubwa chukulia mfano king'amuzi cha continental kina gharama ndogo na azam wana gharama kubwa lakini kwa ubora azam wapo way better
GB 2 voda natizama video 24hr bila kukata kata na kwa kasi
Factors zipo nyingi ni kwanini voda wana net bora nchini
Halotel niliikimbia mwanzoni kwa tatizo la kuscratch scratch
Unatumia kwenye internet au kupigaVoda ndo mpango mzima, unaofatia ni Tigo hii mingine huwa hata siwaelewi itanichukua mda sana kuja kuacha kutumia voda na Tigo.
Urongo mtupu!!! Wewe hujawahi tumia haloteli ukaona kasi yakeUkitaka internet bora basi voda wanaongoza kwa Tanzania ,network yao ipo juu na bora zaidi