Wapo vizuri sana Dar ila ukitoka hapo mzee inazingua kishenzi hunter.Duuuh... TTCL nawapenda wako fresh kwenye net
Unikalia muda mwingi?!Zantel napenda tigo nnayo situmii sana
VodacomHivi unadhani upi ni mtandao bora kwa matumizi Na ambao hukupa raha ya kuenjoy maisha!
Kwa Mimi huwanikiwa natumia voda napata raha mustarehe kabisa!
Tuambie chaguo lako!
Mkuu ipo kwa chini sana vodaVoda ipo chini eti
ndio...Karibu katika kizazi cha T. TumefanikishaWapo vizuri sana Dar ila ukitoka hapo mzee inazingua kishenzi hunter.
T Generation
Dah.....Huu mtandao siujui mkuu!