Kati ya Udaktari na Uinjinia taaluma ipi inalipa zaidi

Kati ya Udaktari na Uinjinia taaluma ipi inalipa zaidi

ams acks

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
101
Reaction score
15
Kwanza nawasalimu wote na ninawatakia weekend njema.

Back to the topic.

Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali kuhusu taaluma hizi mbili zenye mvuto sana, hasa kwa vipanga wengi ambao huziota kila siku.

Lakini sasa sijapata uhakika ipi inaheshimika sana, inalipa zaidi na ipi inapendwa na watu wengi au ipi watu wake hukubalika sana. So ningependa wanajukwaa tujadili from your own experience, karibuni
 
Ninachojua mimi hakuna daktari Tajiri but maengineer matajir wapo kibao hapa mjini, madaktar wanakua na hela yao ya kubadilishia mboga tu
 
Ninachojua mimi hakuna daktari Tajiri but maengineer matajir wapo kibao hapa mjini,madaktar wanakua na hela yao ya kubadilishia mboga tu

Jipe moyo mkuu

Madaktari matajiri wapo wengi tu na utajiri wao umetokana na taaluma zao.Mfano Dr. Kilonzo wa Mwanza ni obstetrician mwenye hela sana,

All in all,taaluma pekee haiwezi kukupa utajiri,kuna zaidi ya uinjinia na udaktari na whatever
 
ImageUploadedByJamiiForums1408858256.780800.jpg
Kama unataka utajiri watafute hawa. Kama unataka profession, jiulize mwenyewe. Ila ninachojua huwezi kutaka udaktari ukatanguliza how much will I make...sijui kuhusu engineers!
 
Jipe moyo mkuu

Madaktari matajiri wapo wengi tu na utajiri wao umetokana na taaluma zao.Mfano Dr. Kilonzo wa Mwanza ni obstetrician mwenye hela sana,

All in all,taaluma pekee haiwezi kukupa utajiri,kuna zaidi ya uinjinia na udaktari na whatever

Kumbe unamjua huyo mmoja ambae anajulikana mwanza tu,ulizia makampun makubwa ya construction,land survey,electrical,civil engineering au architecture ujue balaa lao kwa hela wanazomiki kutokana na proffesional zao,but madaktar wanakua na hela ya kawaida tu maybe wajiingize kwenye biashara nyengine,..
 
Afya Ndo Mtaj Wa Kwanza .Xo Doctor Anaheshimika Kwa Kunuxulu Maisha Ya Watu.
 
kikubwa ni kufahamu ww mwenyewe uwezo na wito wako uko wapi. heshima isiyo na maslahi ishapitwa na wakati. unachoweza kufanya ili kutimiza malengo yako ya maisha ndio jambo la msingi na familia yako ikuheshimu na sio wapita njia. tubadilikeni watz
 
Lakni engnia ndio muhimu coz ndio anaandAa materials za kufanyia kazi kwa doctor

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Madoctor hakuna kitu.. Wanaishia kuwa walevi tu. Offer za beer kwa sana matokeo yake ndo km yale ya Dr. Ulimboka. Kung'olewa meno kwa praizi. Ukiona kafanikiwa kufungua kaduka cha dawa baridi ujue kashaiba sana dawa za serikali.
 
Doctor is nothining without medical and chemical engeers who manufacture medicines na kuusu hela kwa tz labda uwe co muuajiriwa wa sirihii kali (serikali) uwe dr wa hospit ali kuubwa za binafsi ila engineer yupo vzur nakuusu heshima nampa engineer kwasababu bila yeye usinge tuuliza hiliswali kutoka hapo kwenu
 
Hapana DK.ndiyo anaheshimika hata kwenye scale ya mishahara daktari anamzidi mhandisi kwa mbali.Sehemu zingine kama kijijini ukiuliza mhandisi hawajui ni nani lakini daktari hata madongo paromoka wanamjua.
 
Hizi ni ligi za ki-high school PCB vs PCM

Hawa vijana bwana! U-teacher ndo kila kitu, kasomee ualimu ukafundishe Physics, Maths na Biology. Hakuna kama Mwl. Maticha Oyeeee!!!!??
 
Udaktar ndo hbr ya mujin maan huo uinjinia kuna watu wanamiak mitatu bd wanatembea na bahasha mtaan
 
Zote ni nzuri inategemea tu na uchapakazi wako. Tofauti kubwa ni kwamba, madaktari wanakubalika na kuheshimika kwa upana zaidi katika jamii kuliko wahandisi kwa sababu kazi yao inawakutanisha moja kwa moja na watu wa aina zote, wakati wahandisi kufahamika kwa kazi zao tu ni tabu. Watu wa kawaida hawafahamu kabisa kazi za wahandisi, wapo wanaomuona fundi anaepanga tofali kujenga ukuta ni bora zaidi kuliko mhandisi.
 
kwenye uhandisi hakuna kitu kama mapenzi ya mungu. kosa moja la daktari laua mtu mmoja na moja la mhandisi unaua madhara yake.
 
Back
Top Bottom