Kati ya Toyota Brevis na IST ipi inaweza kuishi miaka mingi?

Mtu anaiponda IST kwamba haina nguvu lakini ana gari yenye nguvu na hajawahi fikisha 140km/h sasa mwenye IST anakuachaje?
 
Kwenye maisha Yangu hata iweje sitaweza kununua IST,vitz na passo. Sisi wabongo ni watu wa kukariri Sana unakuta mtu ananunua Passo eti Kwa ajili ya kubana matumizi bila kujua engine yenye cc ndogo ni majanga na huwa haiwezi kuvumilia Safar ndefu.
Me napenda vi gari vidogo sana na makubwa ..like unakuta nina Jimny safi sana kwa ajili ya safari za town pia ni so funny kuendesha kile kigari sikwami popote kwenye tope napasua kako na safari snorkel..at the same time unakuta kuna prado j150 1GD ftv imetulia ndani
 
Back
Top Bottom