Kati ya Samaki hawa wapi watamu zaidi?

Sato na kibua kwangu ni the best!
Sato pishi lolote mchemsho,mkaango,mbaniko🀣🀣🀣🀣
Kibua ni vyema akiwa mkavu!
Sangara kuna Yule aliyabanikwa na moshi wanamuita kibambala aisee dunia ina vitu vitamu Sana!!!
 
Sato hana mpinzani Kwa upande wangu,

Samaki wa maji chumvi hasa baharini siwaelewagi
Umekulia wap wewe? Kwa SISI TULIO kujaga dar es salaam Tanzania ukubwani nikimaanisha university ndio ilituleta dar.

First time dagaa, samakii maji chumbii na maji ya dar es salaam yalinishindaga now Nina miongo kadhaa hapa dar hivyo nime adapt ila mwanzo nilisumbukaga sanaa now nakula mpaka uduviiii
 
Nimekulia huko Old Moshi kidia,

Dar nilikuja kutafuta pesa πŸ˜‚ chuo kikanikuta njian huko,

Dagaa nyumbn tulikuwa tunakula mara chache sana ambao ni dagaa wa nyama au zenji,

Maji hayakunipa shida kwa sababu maji ya Arusha Yana magadi, yalinikomaza,

Ila siogoei maji ya chumvi aseeh
 
Maji ya dar yana lotion 🧴 yaani wadada wakija mjini lazima wanone wapendeze

Maji ya DAR ES SALAMA YANA LOTION 😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…