Kati ya Oppo na Samsung ipi nzuri kutumia?

Acha ushabiki mandazi wewe! Samsung simu zake bora ni ile top of the line tu sijui ni S21ultra na zote zilizowahi kukaa katika hio rank!

Zingine zote ushuzi tu hasa camera na battery! Wanabadilisha makasha na size ya vioo tu! Na sahizi wameamua kuleta simu zenye mediatek chips kama walivyo akina tecno tu!
Uko sahihi mimi ni mpenzi wa samsungu lakini wa S na Note tu!
 
Ndugu kuna simu za makundi matatu samsung.

Kuna highend yaani S na note.

Kuna midrange hapo A series kubwa kama a50,51,52,70,71,80,s10e nk.

Halafu kuna lowend,huku unawakuta akina a10,20,02,21,a30 nk

Sasa tafuta oppo yako zote utakuta zinaishia kati hapo kwa ubora ila wana bei sana hawa jamaa oppo.
Kuna chuma Oppo Find x2 Pro. Hii isikie tu.

Halafu kuna yule ndugu yake anaitwa Vivo x60 pro plus. For my opinion hii ndio best camera phone kwa sasa. Imetoka juzi tu.
 
By default samsung ni nzuri lakini kwa mid-range devices samsung doesn't offer much benefits ukilinganisha na bei ndio maana watu hukimbilia simu kama vile oppo, redmi poco au realme kwa simu za mid-range, sababu unapata value for your money but all in all samsung is the best
 
Back
Top Bottom