Kati ya Oppo na Samsung ipi nzuri kutumia?

Kwanza hamna cm ya Amh 10000.alafu angalia oppo na samsung kwenye chati ya ubora wa simu top ten nani anatambulika ndo uje na habari ya oppo
Acha ushabiki mandazi wewe! Samsung simu zake bora ni ile top of the line tu sijui ni S21ultra na zote zilizowahi kukaa katika hio rank!

Zingine zote ushuzi tu hasa camera na battery! Wanabadilisha makasha na size ya vioo tu! Na sahizi wameamua kuleta simu zenye mediatek chips kama walivyo akina tecno tu!
 
Na oppo kwenye Iko wapi?
 
Oppo kwenye rank iko wapo?
 
Sasa kuna kinachouzika kwa Ubovu?
Wote si wanauza lakini, nachomaanisha ni kuwa oppo haijafikia popularity ya Samsung ila haimaanishi Oppo ni simu mbaya! Mie ndio nilikuwa BA wa oppo humu jukwaani 4 years back kabla hata watu hawajaijua ile simu bongo! Na kupitia mie watu waliijua na kuijaribu i bought two models of the phone na nikazitumia very solid built phones!
 
Sawa mkuu.nitajaribu kuinunua.unapendekeza nianze na ipi ili kuona ubora.ila yenye kuanzia Ram 3.na Amh isiwe chini ya 5000.
 
Acha ushabiki mandazi wewe! Samsung simu zake bora ni ile top of the line tu sijui ni S21ultra na zote zilizowahi kukaa katika hio rank!

Zingine zote ushuzi tu hasa camera na battery! Wanabadilisha makasha na size ya vioo tu! Na sahizi wameamua kuleta simu zenye mediatek chips kama walivyo akina tecno tu!
Na kumbuka anayo exynos sijui ile processor yake ila anaitizama tu geto haitumii
 
Acha ushabiki mandazi wewe! Samsung simu zake bora ni ile top of the line tu sijui ni S21ultra na zote zilizowahi kukaa katika hio rank!

Zingine zote ushuzi tu hasa camera na battery! Wanabadilisha makasha na size ya vioo tu! Na sahizi wameamua kuleta simu zenye mediatek chips kama walivyo akina tecno tu!
J3 nataka nikachukue s20 plus... umenipa moyo kidogo
 
Eeh hio sina wasiwasi itakuwa nzuri tu! Flagship zao zikogi vizuri!

Yani kuliko nikanunue A51 sijui ni aheri ninunue S8 Plus, S9 plus au S10. These were the best built phones kuliko hizo nyenginezo
Mzee kijana umempa jiwe zuri tu ila kwa hizo spec kwa oppo duuh bei itakua majanga san heri ata akae Poco F3 Au hata samsung A52 kama sio heavy user atainjoi tu
 
Back
Top Bottom