Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 13,244
- 27,828
- Thread starter
- #21
Kvp sasa kwani ni uwongo 🤣Mmetoka kwenye onana na chama mmehamia kwengine.
Kvp sasa kwani ni uwongo 🤣Mmetoka kwenye onana na chama mmehamia kwengine.
Huu ushindani haujabalance hata kidogo. Hata nilipopiga kura, matokeo yanaonesha wazi kabisa.
Huu udhindani haujabalance hata kidogo. Hata nilipopiga kura, matokeo yanaonesha wazi kabisa.
Simba imetapeliwa kwa onana kama sisi yanga tulivyotapeliwa kwa skudu makudubela. Yaani pesa imeenda inalia
Una akili ndogo sana mdogo wangu. Umeshindwa kugundua herufi s na d zinafuatana kwenye keyboard yangu ya simu! Hiyo ni kawaida kabisa kutokea kwa typing error!!!We Famba hujui kuandika
hata andazi ni bora kwa onana
Tulishidwa ndio nini? Au unanyonya mashine ya mumeo?WEEK ILIYOPITA KULIKUWA NA UZI NANI MWENYE MASHABIKI WENGI KATI YA SIMBA NA YANGA!
YANGA TULISHIDWA
Itakuwa Eto'o wa Kijichi.Etoo amepiga simu klabuni na kudai Onana ni hatari kuliko alivyokua yeye akicheza, tatizo kocha wenu uwa amwanzishi mwanzo.
😂😂Itakuwa Eto'o wa Kijichi.
KabisaMbingu na ardhi mkuu
Kabisa max ni fundii sanaKura zinatosha
Hahahah nimecheka sanaOnana ataondoka na kiatu msimu huu ndo kawaida yake huanza taratibu ila likiwaka anakuwa wa moto kwa mujibu wa simu ambayo etoo amewapigia simba hiv karibuni
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Onana ataondoka na kiatu msimu huu ndo kawaida yake huanza taratibu ila likiwaka anakuwa wa moto kwa mujibu wa simu ambayo etoo amewapigia simba hiv karibuni
Chips mayai.Huyo Onana ni nani huko Dar?