Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 476
- 1,060
Wakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree
Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC
ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki
Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo naitaka. DIT nimekosa kabisa nafasi.
Naomba ushauri sasa, hapo inabidi niamue kati ya NIT au MUST kwa hiyo kozi.
Je, mnanishauri niende kusoma chuo kipi? Kipi hapo kiko vizuri kwenye kutoa elimu ya Mechanical kwa sababu nataka niwe vizuri, nina mpango wa kutumia hii knowledge ya Mechanical kwenye maisha yangu baadae hata kama nikikosa ajira
So naomba mnisaidie chuo kipi kipo competetive kwenye kutoa elimu kati ya hivyo viwili
Ahsante