Kati ya NIT na MUST niende wapi?

Kati ya NIT na MUST niende wapi?

Mimi kusoma Advance nilikuwa sitaki, tulibishana sana na wazazi ila mwisho wakashinda wao. Na ni kweli Advance nilikuwa sisomi kihivyo nilikuwa nasubiri tu nimalize. Ila chuo hamna aliyenilazimisha, hii kozi sasahivi naenda kuisoma mwenyewe. Nilikuwa nataka kwenda Diploma ya Mechanical tangu nilivyomaliza form 4 ila wazazi wakanikatalia
Sasa hujui jinsi gani nilivyofurahi kuipata sasahivi
Pole sana,kozi nzuri pia umechagua hongera .wazaz wako watafurahi soon waombee maisha marefu tuu
 
Wakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree

Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC
ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki
Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo naitaka. DIT nimekosa kabisa nafasi.
Naomba ushauri sasa, hapo inabidi niamue kati ya NIT au MUST kwa hiyo kozi.
Je, mnanishauri niende kusoma chuo kipi? Kipi hapo kiko vizuri kwenye kutoa elimu ya Mechanical kwa sababu nataka niwe vizuri, nina mpango wa kutumia hii knowledge ya Mechanical kwenye maisha yangu baadae hata kama nikikosa ajira
So naomba mnisaidie chuo kipi kipo competetive kwenye kutoa elimu kati ya hivyo viwili
Ahsante
Nenda MUST ndugu yangu ni mahali sahihi 👍🏿
 
NIT

1000345646.jpg
 
selection za vyuo umezipataje mkuu
Ingia kwenye website ya chuo ulichoapply
Mfano labda unataka kuingalia labda MUST tuseme, unafanya hivi
1. Ingia Google search MUST Online Admission. Then fungua results zinazokuja hapo, utafika kwenye hii page
Screenshot_2025-09-04-10-32-38-560_com.android.chrome.jpg

2. Hapo unaingiza username na password yako. Username ni namba yako ya mtihani wa taifa ya form 4. Inakaa kwenye mfumo kama huu S2676/0113/2022 na password unaingiza password uliyotumia kuapply chuo

3. Ukiingiza tu password na username kwa usahihi basi itafunguka kwenye dashboard utaona ujumbe kama umechaguliwa au la
Hapo utaona option ya ku confirm. Unaconfirm chuo kimoja tu unachokipenda, kama umechaguliwa vyuo vingi
Screenshot_2025-09-04-10-32-54-834_com.android.chrome-edit.jpg

Kwa hiyo we nenda tu kwenye chuo unachotaka kuangalia kama umekuwa selected, Kama ni DIT, search DIT Online Admission, kama ni UDSM basi search UDSM Online Admission, kila chuo unaandika jina lake mwisho unamalizia na Online Admission. Hivyo ndio unavyoangalia majibu
Kama chuo kikikutema watakuonesha ujumbe unaofanana na hivi. Kila chuo kina namna yake ya kukupa taarifa. Mimi DIT wamenitema na ujumbe wameuweka hivi 👇👇
Screenshot_2025-09-04-10-41-03-442_com.android.chrome.jpg
 
Wakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree

Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC
ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki
Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo naitaka. DIT nimekosa kabisa nafasi.
Naomba ushauri sasa, hapo inabidi niamue kati ya NIT au MUST kwa hiyo kozi.
Je, mnanishauri niende kusoma chuo kipi? Kipi hapo kiko vizuri kwenye kutoa elimu ya Mechanical kwa sababu nataka niwe vizuri, nina mpango wa kutumia hii knowledge ya Mechanical kwenye maisha yangu baadae hata kama nikikosa ajira
So naomba mnisaidie chuo kipi kipo competetive kwenye kutoa elimu kati ya hivyo viwili
Ahsante
MUST & NIT wanatoa Bachelor of Science (Bsc) lakini ATC wanatoa Bachelor of engineering (BEng)..
Nini tofauti kati ya hizo ?
Bsc imeegemea zaidi katika theoretical lkn Beng imeegemea zaidi na Practical .

Katika vyuo hivo ulivotaja , graduate wa ATC wanakua competent zaidi na wanafanya vizuri katika soko la ajira kutokana na uelewa wa practical.
 
Wakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree

Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC
ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki
Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo naitaka. DIT nimekosa kabisa nafasi.
Naomba ushauri sasa, hapo inabidi niamue kati ya NIT au MUST kwa hiyo kozi.
Je, mnanishauri niende kusoma chuo kipi? Kipi hapo kiko vizuri kwenye kutoa elimu ya Mechanical kwa sababu nataka niwe vizuri, nina mpango wa kutumia hii knowledge ya Mechanical kwenye maisha yangu baadae hata kama nikikosa ajira
So naomba mnisaidie chuo kipi kipo competetive kwenye kutoa elimu kati ya hivyo viwili
Ahsante
Zingatia na ubora wa elimu inayotolewa pamoja na mabadiliko ya Technology , Mechanical vs Mechatronics.
Mitaala mingi ya Mechanical Tanzania ni ya zamani tofauti na kozi mpya ya Mechatronics inayolingana na Technology ya Robotics. Pia zingatia soko la ajira Tanzania . Ukiangalia ERB , Kuna graduate engineer 27 tu waliosajiliwa in Mechatronics Engineering mpaka sasa lakini upande wa Mechanical wapo 2000+
Confirm MUST Bwana mdogo, Japo ATC was the best
 
Zingatia na ubora wa elimu inayotolewa pamoja na mabadiliko ya Technology , Mechanical vs Mechatronics.
Mitaala mingi ya Mechanical Tanzania ni ya zamani tofauti na kozi mpya ya Mechatronics inayolingana na Technology ya Robotics. Pia zingatia soko la ajira Tanzania . Ukiangalia ERB , Kuna graduate engineer 27 tu waliosajiliwa in Mechatronics Engineering mpaka sasa lakini upande wa Mechanical wapo 2000+
Lakini kati ya Mechanical na Mechatronics ipi ina soko. Nimefuatilia Mechatronics nimeona ina soko kubwa huko nje lakini nikaona wanaongelea sana sijui Robotics nk
Huku 3rd world countries naona kama haitakuwa na soko hivi.
Halafu hapa nina swali, kwenye TCU guidelines naona wameonesha kozi za Mechanical Engineering nk kwa chuo cha ATC bachelor yake inachukua miaka 3 ila vyuo vingine ni minne. Je, hii haimaanishi kwamba kuna vitu wamevipunguza kwenye mtaala wa ATC?
 
Ukitokea advance unasoma miaka 4 , diploma ndio 3. Usiangalia Leo Yako dili zaidi na future Yako, huoni Technology sinavyobadilika ?
Tanzania Kuna engineer wengi wakenya na wahindi kwenye industries wanakula maisha sababu ya sisi wenyeji hatuendani na wakati.

Kwa sasa any machine ina mifumo ya electronics sio mechanical pekeyake na Engineer anahitaji kua na uelewa wa pande zote mbili, na muajiri hupendelea kuajiri mtu multipurpose.
Soko la ajira Mechatronics lipo vzr na linakua, waajiri wengi wanaelewa umuhimu wake.
Why mechatronics from ATC ni best option for your future ?
Ina cover Mechanical + electronics.
Best mentor from ATC , In ATC , utasomeshwa na Prof na doctors kutoka nchini na wageni (south Korea) , utapata exposure nzuri juu ya Mechatronics, ndani yake utajua Robotics na AI.
Every semester Kuna midterm project, hii inasaidia kukupima uwezo wako wa vitendo katika somo husika.
Pia wingi wa vifaa vya kusoma kivitendo, Utafanya practical na design katika field mbalimbali ikiwemo CAM / CAD , 3D printing Technology, Electropneumatic and Electrohydraulic, Industrial Automation , PLC programming , CNC , Material Testing , Circuit design , Embedded systems. Na hizo practical vyuo vingi tz hakuna.
Ukiwa makini utamaliza na ujuzi unaofanana na mazingira halisi ya kazi. Tofauti na graduate wa vyuo vingi tz . Maamuzi ni Yako , focus on present / future Yako.

Multipurpose, kazi zote kutoka utumishi na Private sector zinazohusu Mechanical, Mechatronics, Automation , Instrumentation , Material engineering unauwezo wa kuomba na ukapata.
Fanya maamuzi mazuri , Skills make the difference.

From ATC Mechatronics Engineering Alumni.
 
Back
Top Bottom