UnahitajikaSio mbaya, ujuzi wa math una hitajika zaidi kwenye hiyo course au hakuna kabisa.
Sio kweli, MUST wanatoa Bachelor of Mechanical Engineering, ambayo hii ni pure Bachelor of Engineering, sio Bachelor of Science kama unavyosemaMUST & NIT wanatoa Bachelor of Science (Bsc) lakini ATC wanatoa Bachelor of engineering (BEng)..
Nini tofauti kati ya hizo ?
Bsc imeegemea zaidi katika theoretical lkn Beng imeegemea zaidi na Practical .
Katika vyuo hivo ulivotaja , graduate wa ATC wanakua competent zaidi na wanafanya vizuri katika soko la ajira kutokana na uelewa wa practical.
Huwa wanachaguliwa wanafunzi hata 300 lakini wanaoenda kusoma actually wana range around 150Kuna selection ya diploma holder na Advance level holder, niliona majina ya waliokuwa selected in 2021 , watu 500+