Kati ya mzungu na mswahili

Kati ya mzungu na mswahili

By mapizi

Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
31
Reaction score
6
Jamaa mmoja aliandoka jioni moja na kwenda ufukweni baada ya kufika ufukweni katulia akaja mzungu mmoja akamkuta katulia,mzungu kamuuliza jamaa are u rest?,jamaa kajibu no..mzungu kaondoka akaja mzungu mwingine akamkuta jamaa yupo pale yule mzungu akamwambia are u rest?,jamaa kajibu no.dah! Jamaa kaona ii sasa kali na yeye kaamua kutembea tembea pale ufukweni katika tembea tembea kamkuta mzungu amekaa sehemu uyu jamaa nae kamuuliza muzungu are u rest?.mzungu kamjibu Yes.dah yule jamaa kampiga kibao yule mzungu akamwambia we ndo rest wenzeko wanakutafuta kule wameshanisumbua sana.
 
kuna moja humu jamvini jamaa na mke wake.
Mume: leo kwa jirani kuna birthday.

Mke: ya nani mume wangu?

Mume: hata sijui ni ya nani.naskiaga wanamuita tuyuu.

Chezea kidhungu mweeh!
 
Hahhahaha mmbongo safi lakini kajibu straight no ye sio rest ni mwingne tungo tata hiyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom