Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,403
- 40,320
Hii imetokana na kuwepo kwa changamoto zaidi kwenye mahusiano; mwanamke amekuwa akimtenda mwanaume, na wakati mwingine mwanaume hivyo hivyo amekuwa akimtenda mwanamke.
Wakati mwingine, mwanaume anaambiwa ili apate mahusiano kwa mwanamke inabidi awe na kipato, au awe na uwezo wa kuhonga; mpaka imekuwa kama utamaduni, kwa mwanaume bila pesa hawezi kupata pisi kali.
Imekuwa ni malalamiko kila kona, mara mke wa mtu anatoka nje ya ndoa, mara mme wa mtu naye anatoka nje ya ndoa; sasa tunataka tujue, katika haya mahusiano ni yupi anayemhitaji mwenzake zaidi?
Na anayemhitaji mwenzake zaidi, ni lazima agharamike zaidi?