Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
Gcam unadownload mkuu, na kampuni za Kichina software zao sio nzuri hivyo Gcam unapata software nzuri kutake Advantage ya hardware yako, hivyo overall vitu kama Portrait, HDR, Color accuracy na mambo kibao yana improve,Hivi hiyo Redmi 10C GCAM unaikuta kama option mojawapo ya camera [emoji991] au inakuhitaji udownload??
Na ukitumia GCAM kuna nini cha ziada unakipata ambacho hakipo kwenye kamera ya kawaida [emoji1745][emoji1745]