adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
Sh ngapi hiyo ?Ongezea pesa agiza redmi note11 ya Ram gb6 128Rom
Sh ngapi hiyo ?Ongezea pesa agiza redmi note11 ya Ram gb6 128Rom
Laki 4 tu inakupa wenge mpka unaanzisha uzi? Siku ukitaka kununua simu ya milion si utapeleka tangazo ITV na TBC1?
Nilifanikiwa kununua simu mlimani city
Usiongee vitu huvijui