Kati ya mke na mume nani muongo zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya mke na mume nani muongo zaidi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 11, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,002
  Likes Received: 3,592
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha, kazi watakapo kutana kwenye korido. Hapo mtu lazima afe. ha ha ha ha ha, Maalim, you made my day.
   
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,196
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kwa scale za kisasa za uongo, huo wa mama ni 1st degree.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,002
  Likes Received: 3,592
  Trophy Points: 280
  Mkuu aritoine Umepatia kweli mwanamke huyu anaongoza kwa kuongopa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  siku hizi ni 50/50wote waongo hakuna cha mume wala mke wote waongo na wazinifu
   
 6. YETOOO

  YETOOO Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeingalia picha kwa makini mume anapenda wanawake wembamba na mke ni tinginya la kufa mtu,ilhali mke anapenda wanaume wembamba of kozi wanajua shughuli na mume ni kitambi.Hapo wote waongo 50/50 mpaka watakapoamua kufanya diet na mazoezi
   
 7. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo mwanamke ni muongo zaidi, anasingizia kanisani nyumba ya mungu, heri mwanaume kasema ukweli yule nyumba ndogo ni sawa na polisi tu!!
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,522
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kuna jambo limekosekana katika ndoa yao na wanaonekana kutafuta nje,wote ni waongo ingawa mume kawahi kudanaganya maana yeye tayari yupo eneo la tukio wakati mkewe ndio anaelekea kwenye tukio
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli babaake maana hao wakikukamata hukamata kuzidi polisi chezea vishostito weye.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,911
  Likes Received: 1,955
  Trophy Points: 280
  Tuliozoea Jiji tunasema Ngoma Droo...
   
 11. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,542
  Likes Received: 4,243
  Trophy Points: 280
  ukisikia alie uzacheni kauza cheni feki na aliye nunua cheni katoa fedha bandia ,ndo hapo sasa mkuu mzizi akili kumkichwa ukizubaa na kumbwera unaachwa............................
   
 12. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usiniambie kuwa wanaume wembamba ndio wanajua shughuli? Unaonekana una akili sana wewe.

  Wallah ningejua unakaa wapi ningekuja kukufanyia wife wako, halafu asipokutukana najiuzulu hii fani
   
 13. K

  KENET JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mimi kwa mtizamo wangu inawezekana akawa mwanamke au mwanaume,Lakini hapa inategemea ni nani mwenye upeo wa kuona mbali zaidi ya mwingine.Kama mwanamke ni mjanja kuliko mwanaume anaweza kuwa mwongo zaidi na kwa mwanaume ni hivyohivyo.
   
 14. YETOOO

  YETOOO Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taratibu mkuu mi sina mke nina mume...swali kwako unajiuzulu fani gani???ya kufanya wake za watu ama???

   
 15. awp

  awp JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  haman mwongo hapo kila mtu anakula guditaimu kivyake
   
Loading...