Kwa ujumla, tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko zile za saruji. Hata hivyo, kwa hapa kwetu ni vigumu kulitambua hili mpaka uwe mtafiti ama mtaalamu wa masuala haya ya ujenzi. Mazingira ya ujenzi wetu hayana viwango. Kwahiyo, ni vigumu wewe kuona ubora wa tofali maana si saruji wala la kuchoma linalotengenezwa kwa kufuata viwango. Tena bora wazee wetu miaka ya 90 mwanzoni kurudi nyuma walifuata viwango, sisi wa miaka hii tuwe wakweli, hakuna kitu. Mradi tumehamia.Nilibishana na rafiki yangu, yeye ameamua kujengea matofali ya kuchoma. Anasema ubora wa tofali la kuchoma liliokwa sawasawa unazidi matofali ya saruji. Yeye pesa anayo ila ameamua kutumia matofali ya kuchoma katika ujenzi wake. Hivi ni kweli kuwa matofali ya kuchoma ni bora kuliko ya saruji?
Nilichomwambia ni kuwa, matofali ya kuchoma unauhakika ni udongo 100% kuliko upate ya saruji yawe 1/3 ni mchanga na 1/4 ni saruji. Lakini kuhusu uboara hui sina uhakika.
Hawa watu wana nidhamu mkuu. Sisi wazee wa mradi liende. Wanafuata viwango. Mfano hizo zimelazwa hapo ardhini uimara wake ni mkubwa zaidi kuliko zile zinajenga nyumba.Mtindo huu wa tofali ndio ninao ukubali zaidiView attachment 1866032View attachment 1866034
Ni kwasababu hatuna utaalamu mzuri wa kuoka matofali. Ulaya wanatumia matanuri ya gas na wanaoka kwa wingi kibiashara.Kwa ujumla, tofali za kuchoma ni imara zaidi kuliko zile za saruji. Hata hivyo, kwa hapa kwetu ni vigumu kulitambua hili mpaka uwe mtafiti ama mtaalamu wa masuala haya ya ujenzi...
Kumaliza ubishi yapelekeni maabara yakakandamizwe ijulikane yanavunjikia kwenye NEWTON'S ngapiNilibishana na rafiki yangu, yeye ameamua kujengea matofali ya kuchoma. Anasema ubora wa tofali la kuchoma liliokwa sawasawa unazidi matofali ya saruji. Yeye pesa anayo ila ameamua kutumia matofali ya kuchoma katika ujenzi wake. Hivi ni kweli kuwa matofali ya kuchoma ni bora kuliko ya saruji?
Nilichomwambia ni kuwa, matofali ya kuchoma unauhakika ni udongo 100% kuliko upate ya saruji yawe 1/3 ni mchanga na 1/4 ni saruji. Lakini kuhusu uboara hui sina uhakika.
Changamoto ni kuwa haya ya saruji unanunua matofali, mchanga nae mashine. Fundi na amepata pa kuponea anakupiga humohumo anatoa matofali 45 kwa mfuko wa saruji na anakuambia mfuko mmoja ametoa 25Kumaliza ubishi yapelekeni maabara yakakandamizwe ijulikane yanavunjikia kwenye NEWTON'S ngapi
Ndo hapo sasa... Ila kuna wauzaji, matofali yao yanaaminika na maabara za pale DIT.. Kwa Dar, nawafahamu jamaa wapo pale kabla ya daraja la mto mzinga kushoto kama utakwenda VikinduChangamoto ni kuwa haya ya saruji unanunua matofali, mchanga na mashine. Fundi na amepata pa kuponea anakupiga humohumo anatoa matofali 45 kwa mfuko wa saruji na anakuambia mfuko mmoja ametoa 25
Tofali ya kuchoma ina nguvu kuliko ya cement? Aisee!Tofari choma ni bora zaidi ya saruji, strength yake iko juu, nyumba inaweza kudumu miaka zaidi ya 200, kama zimechomwa kwa standard nzuri, ndo maana wenzetu uko majuu USA, Europe wanatumia sana tofari choma pia zinahifadhi joto kwa muda mrefu, uimara wa tofari choma ni sawa na tofari za zege.
Tanzanian hatuna kiwanda Cha tofari choma kipo Uganda, wengi wenye pesa uchukuwa Uganda maana standard zake ni nzuri siyo hizi za kutumia kuni, pumba za mpunga etc. Nzuri wanatumia makaa ya mawe, gas etc.
Kwa hiyo kwako tofali bora ni lile linalo pendezesha sio?Ya kuchoma ni bora, nyumba inapendeza kabla ya kupiga rangi.
Mkuu tofali ya block Ni imara kuliko ya kuchoma lakini sio Kama ndo HAKUNA MAGHOROFA YA TOFALI ZA KUCHOMA !Tofali ya kuchoma ina nguvu kuliko ya cement? Aisee!
Hivi ushawahi kuona ghorofa linajengwa kwa tofali ya kuchoma?
Ukijibu hilo pia jibu hili..
Kwanini kwenye structures kama matenki ya maji wanatumia tofali za cement na sio tofali udongo??
Kwasababu tofali za kuchoma hunyonya maji au unyevuTofali ya kuchoma ina nguvu kuliko ya cement? Aisee!
Hivi ushawahi kuona ghorofa linajengwa kwa tofali ya kuchoma?
Ukijibu hilo pia jibu hili..
Kwanini kwenye structures kama matenki ya maji wanatumia tofali za cement na sio tofali udongo??