Kati ya JF, Twitter na Facebook ipi bora?

Bado hujafahamu kua jf ndo inaendesha hii nchiee, subiri sana.
 
Wanasiasa wazuri husoma mawazo hapa fb nakuchukua uamuzi.
 

halafu majina yao mazuriiiiiiii...!!!
 
labda tuangalie kati ya hizo tatu, Ipi mmiliki wake ni tajiri zaidi...Nadhan jibu ushalipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…