Kwa kutafutia totoz za ukwel i prefer fcbuk,si haba na mi nilibahatisha huko
Bado hujafahamu kua jf ndo inaendesha hii nchiee, subiri sana.
huku hakuna atakayesema ukweli kwa kuwa wengu wanajidai sio facebooker. Facebook imemaliza mambo yote. Ujinga wa fb kama watu wengi wanavyoongelea ni friends ulionao coz kuna option ya kurestrick watu usiowataka.
Kwanza suala linalonishangaza humu jf watu wanakandia sana fb ila jf ikiondoka hewani utaona watu kibao wa jf wapo fb wanalalamika/kutoa taarifa jf main site haipo hewani.