Kati ya hizi EQUATIONS zilizobadili Dunia, Umewahi kukutana na Zipi?

Mmekutana Nazi sasa ni innovation gani mmeshafanya hapa Tanzania au ni kukariri tu.
Binafsi tangu nitoke nje ya mifumo hiyo sijatumia tool hata moja Kati ya hizo chache nilizotaja. Lkn niliwahi kumuuliza Prof aliyekuwa anafundisha na mengine makubwa zaidi ya hayo, akasema hata kama hautaaply hizo analysis of complex mathematics zinasaidia kutanua Uwezo wa akili kukabiliana na vitu tata maishani. Na hilo naamini ni moja ya automatic advantage.

Pili binafsi nikiwa ktk mifumo hiyo niliwahi kutumia hizo complex time domain equations kufanya mradi wa kufikiri, ionyesha physically zinaonekanaje katika signal processing. Hiyo ilikuwa na faida kubwa kwa wanaozitumia na wnzangu maana Wali experience reality ya wanachojifunza mathematically. Development ya vitu kama hivyo zinafanyika industrial level mkuu ambako wanamanufucture communication devices and system. Hapo ni kwa hizo chache nilizotaja mkuu.
 
4895318_fbimg1487607327739_jpeg4cca9069295cab0d626bc9eab0bf446a


hapa mimi ni 1,2,3,4,7,8,9,11 na 13 ndio zipo kwenye kumbukumbu
I love mathematics, nashukuru Mungu nilishapataga '''''''A''''''
 
hizi hesabu zipo zinatumika kama nchi itakapo hamua kuwa wasomi,maprofesa na wataalamu kutilia mkazo kiundani.ndipo tutaweza kutengeneza kila aina ya vitu leo tuna hona tuna agiza kwa wenzetu
 
Duuuh zote nishakutana nazo? Japokua nahisi likitambi la bia linavyozidi na pia nazid kuzisahau huku field mpaka watoto wa juzi wananikimbiza
 
hizi hesabu zipo zinatumika kama nchi itakapo hamua kuwa wasomi,maprofesa na wataalamu kutilia mkazo kiundani.ndipo tutaweza kutengeneza kila aina ya vitu leo tuna hona tuna agiza kwa wenzetu

Kuna sehemu bado zote hizo tunazitumia mkuu. Linchi hili hili
 
Back
Top Bottom