Kati ya hizi EQUATIONS zilizobadili Dunia, Umewahi kukutana na Zipi?

Zote, ila ya 3 ina marekebisho /maboresho kidogo Calculus haikuanzishwa na a Isaac Newton bali ni Leibniz, ndiye baba wa Calculus!
Leibniz alisema kitu ambacho Newton alikuwa ameshakipitia ila hakupublish.Akaonesha kitabu chake chenye hizo calculus cha mwaka 1684 ambapo Leibniz yeye aligundua mwaka 1686 na hapo ndio alipomshindia,ila wote wanajulikana kama waanzilishi wa calculus ila Newton ndio baba wa calculus
 
Mi nakumbuka hizi tu
 

Attachments

  • 263E2E5600000578-0-image-a-2_1425298907613.jpeg
    263E2E5600000578-0-image-a-2_1425298907613.jpeg
    6 KB · Views: 33

Similar Discussions

Back
Top Bottom