Kati ya hizi EQUATIONS zilizobadili Dunia, Umewahi kukutana na Zipi?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
4895318_fbimg1487607327739_jpeg4cca9069295cab0d626bc9eab0bf446a


hapa mimi ni 1,2,3,4,7,8,9,11 na 13 ndio zipo kwenye kumbukumbu
 
Zote, ila ya 3 ina marekebisho /maboresho kidogo Calculus haikuanzishwa na a Isaac Newton bali ni Leibniz, ndiye baba wa Calculus!
mkuu Sources zinaonesha wote Gottfried Leibniz na Isaack newton. Newton alianza kudevelop fluxional calculus in 1665-1666 kabla hata ya Leibniz ambaye kazi zake nyingi zilianza 1673. Ila founder wa calculus bado ni controversial kama wampe huyu mjerumani au Muingereza newton.
 
mkuu Sources zinanyesha wote Gottfried Leibniz na Isaack newton. Newton alianza kudevelop fluxional calculus in 1665-1666 kabla hata ya Leibniz ambaye kazi zake nyingi zilianza 1673. Ila founder wa calculus bado ni controversial kama wampe huyu mjerumani au Muingereza newton.
Mmmh... Nahisi ntakuwa Mimi....

I wish I could be......
 
mkuu Sources zinaonesha wote Gottfried Leibniz na Isaack newton. Newton alianza kudevelop fluxional calculus in 1665-1666 kabla hata ya Leibniz ambaye kazi zake nyingi zilianza 1673. Ila founder wa calculus bado ni controversial kama wampe huyu mjerumani au Muingereza newton.


Ndiyo maana nikasema ilipaswa wawekwe wote wawili, kwani kila mtu anavutia kwake, lkn mwisho wa siku haya mambo pia yametawaliwa na Siasa zaidi klk ukweli, kuna watu wengi wanagundua mengi na mawazo yao yanaibwa na kupewa wengine, wenye mawazo wanakufa hakuna anayewajua!
 
Ndiyo maana nikasema ilipaswa wawekwe wote wawili, kwani kila mtu anavutia kwake, lkn mwisho wa siku haya mambo pia yametawaliwa na Siasa zaidi klk kweli, kuna watu wengi wanagundua mengi na mawazo yao yanaibwa na kupewa wengine, wenye mawazo wanakufa hakuna anayewajua!
uko vizuri, newton kwa sababu ni mwingereza watakuwa wanampa promo zaidi. Ndio maana EPL inaangaliwa kuliko ligi nyingine zote kumbe haya mambo yalianza kitambo
 
"Hisabati ndiyo lugha ya Mungu" Albert Einstein.

Fomyula yake hiyo namba 13 ilifungua siri nyingi za malimwengu.

Japo ni somo muhimu sana lakini nadhani ndilo somo linaloongoza kwa kuwa na walimu wengi makanjanja na wanaotegemea fimbo zaidi ili "kueleweka". Mtu hata huelezwi umuhimu wake bali unalazimishwa kukariri tu na ukilega lega unatembezewa kibano!
 
Back
Top Bottom