Wote wapo Tanzania Official,
Hisense model zao za U7N series hawana mpinzani kwenye Budget TV kama unaipata chukua,
Advantage ya Haier over Hisense inakuja na Android tv, kama ni mtu wa kutumia TV na internet inasaidia, hasa hizi apps za bure.
Mambo mengine itategemea model na model