Bei ya TCL ni kubwa kuliko hizo 2 alizotaja.Nunua TCL ni better choice kuliko hizo mbili.
TCL ndio best katika budget TV'sBei ya TCL ni kubwa kuliko hizo 2 alizotaja.
Mkuu hapa kwenye haier kuna model ipi inaipiku tcl v6b au v6c kwa ufanisi kiongoziWote wapo Tanzania Official,
Hisense model zao za U7N series hawana mpinzani kwenye Budget TV kama unaipata chukua,
Advantage ya Haier over Hisense inakuja na Android tv, kama ni mtu wa kutumia TV na internet inasaidia, hasa hizi apps za bure.
Mambo mengine itategemea model na model
Kwanza mleta mada futa kauli ya umeshuka wewe haujashuka ila ulichokuwa unatumia mwanzo ni kibovu ndiyo maana kimekufa,nimekuwa surprised uliposema Samsung unapaona parefu yaani Samsung umetumia imekufa so ungekuwa na uwezo ungenunua tena hiyo hiyo Samsung?Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati kabla sijafika huko chini kwa wachina kina vitron na kina Alitop. Msaada wakuu.
Mpaka ali Botom? Duuhhao wawili wote wako vizuri
hao wengine uliowataja(alitop, alibottom) kaa nao mbali
Zipo nyingi ila bei ndefu nazo naona kama Haier S900ux ina full array Diming, 4k 120hz etc ni nzuri.Mkuu hapa kwenye haier kuna model ipi inaipiku tcl v6b au v6c kwa ufanisi kiongozi
Ni kweli hata samsung phone zinazingua somtimes. Kuna wazalishaji wahuni wanagonga copy wanauzia wafanya bishara matapeli wanatupiga kwa kufata BrandKwanza mleta mada futa kauli ya umeshuka wewe haujashuka ila ulichokuwa unatumia mwanzo ni kibovu ndiyo maana kimekufa,nimekuwa surprised uliposema Samsung unapaona parefu yaani Samsung umetumia imekufa so ungekuwa na uwezo ungenunua tena hiyo hiyo Samsung?
Mimi natumia Haier Android 43" with 3 years of warranty so far siyo mbaya sana picha naziona watoto wanafurahi maisha yanaenda,kununua vitu kwa kuzingatia brand kunatudanganya sana wabongo kumbe ni vibovu tu.
Umemaliza...uzi ufungweunalinganisha na MO na GSM kwenye uwekezaji wa timu.
Ukisema wewe mimi sipingi. Nakumbuka uzo wako wa Radio SabwooferTCL ndio best katika budget TV's