Mambo vipi mtu wangu wa nguvu, kama kawaida ni siku nyingine tena ambayo Mungu ametujalia kuiona tayari tunaendelea kubofya keyboard japo wengine tumesahau hata kumshukuru asubuhi kwa uzima na ulinzi aliotupa.
Hope mko poa na mupo bize si unajua life goes the way yo direct it!
Back to the Topic: Kati ya baba na mama (wazazi) wewe unampenda nani?
Mimi Binafsi nimejikuta nampenda sana mama yangu kwani aliyonitendea ni makubwa sana, ni stori ndefu haimanishi
baba hayupo, hapana yupo na wanaishi wote na wanaelewana na ndoa yao ni ya miaka mingi. Lakini katika maisha
yangu mama amekuwa nguzo kuu na amekuwa na upendo ambao sijawahi kuuona popote pale, kwani nikipata shida
mama yangu lazima augue, '' mwaka 2003 nilikosa ada ya sekondari, nilimkuta mama analia sana, nikamwuliza mama
imekuwaje? akasema Mwanangu nimekosa pesa hata ya nauli ya kwendea shule, Mungu alivyo mwema nilikuwa
tayari nimeshafanya vibarua kwa masista wakawa wamenisupport, nilipomwambia ninayo daah! akafuta machozi"
....yapo mengi aliyoyafanya mama juu yangu, so mpaka sasa nampenda sana mama kuliko hata baba na siku zote
namkumbuka sana mama kuliko baba", SO I LOVE MY MUM than MY DAD, WEWE JE?
Hapa nakufundisha nini?
Katika maisha jaribu kuwajibika hususani ukiwa man ili uweze kuweka alama ktk familia yako, alama ya upendo,
alama ya kuheshimika na kuthaminika, tusiwaachie wanawake majukumu ya familia, aibu itakuja uzeeni pindi watoto wakifanikiwa, Si mnamwona Diamond na Baba yake? Marehemu Kanumba(R.I.P the great) na Baba yake?
MUNGU AWABARIKI WOTE, ASUBUHI NJEMA